Kanuni ya mapenzi: Huna pesa, huna chako...

Mapenzi hayana kanuni.Hao tunaotafuta pesa nakuwapa/kuwahonga niwale wanawake wenye shida namaisha yachini au vipato vyao ni chini yavyakwetu watoaji sasa kanuni yako haiwezi kutumika kila mahali kwasababu wako wanawake wenye vipato vyao vyamaana na wanatoka na wanaume wenye vipato vyakawaida au vyachini sana.Ninachokijua nikwamba wewe kama mwanaume mwenye mamlaka yakuwinda nakumiliki windo lako unatakiwa uwe na mbinu zaziada zaidi ya kile unachowinda au kukimiliki.
 
Huyo mwanamke mkataa pesa zako ndogo ni yule ambae anahongwa na zangu Nyingi...
Mapenzi hayana kanuni.Hao tunaotafuta pesa nakuwapa/kuwahonga niwale wanawake wenye shida namaisha yachini au vipato vyao ni chini yavyakwetu watoaji sasa kanuni yako haiwezi kutumika kila mahali kwasababu wako wanawake wenye vipato vyao vyamaana na wanatoka na wanaume wenye vipato vyakawaida au vyachini sana.Ninachokijua nikwamba wewe kama mwanaume mwenye mamlaka yakuwinda nakumiliki windo lako unatakiwa uwe na mbinu zaziada zaidi ya kile unachowinda au kukimiliki.
 
FB_IMG_1568834638951.jpeg
 
Back
Top Bottom