Kanuni ya mfungaji bora wa ligi kuu NBC inasemaje? Tuwekeeni vifungu

Nominee

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2017
Posts
464
Reaction score
1,260
Hivi kwanini Bongo tunaishi kama gari bovu. Ada za usajili za wachezaji haziwekwi wazi, hata malipo viwanjani nayo magumashi kibao.

Haya tuwekeeni hapa kifungu cha kanuni ya bodi ya ligi kuhusu mfungaji bora.

Ahsanteni.
 
Kwa Tanzania hakunaga hiko kifungu, amini hiki mimi ninachokwambia, achana na stor za wajinga wajinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…