Kanuni ya mfungaji bora wa ligi kuu NBC inasemaje? Tuwekeeni vifungu

Kanuni ya mfungaji bora wa ligi kuu NBC inasemaje? Tuwekeeni vifungu

Dah!! Nilidhani wanakwenda kupitia ksnuni, kumbe wanaenda kuamua anayestahili?
Leo nimelazimika kupitia kanuni zote za ligi kwa msimu wa 2022/2023, sijaona popote wamezungumzia kuhusu Mfungaji bora. Hayo maamuzi ya kuamua mshindi ni lazima wakarushe shilingi huko[emoji2]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bora wawapee wotee tyuuh, maana mzozo utakao zuka hapa sio wa nchii hii.
 
Hivi kwanini Bongo tunaishi kama gari bovu. Ada za usajili za wachezaji haziwekwi wazi, hata malipo viwanjani nayo magumashi kibao.

Haya tuwekeeni hapa kifungu cha kanuni ya bodi ya ligi kuhusu mfungaji bora.

Ahsanteni.
Seen
Screenshot_20230609-201040.jpg
 
Kupunguza migogoro na mijadala isiyo na mantiki kila mmoja apewe zawadi yake
Kama magoli ya penalty sio magoli basi yasiwe yanahesabika katika kuonyesha idadi nani anaongoza katika ufungaji
Naunga mkono hoja
 
Back
Top Bottom