Kanuni ya mfungaji bora wa ligi kuu NBC inasemaje? Tuwekeeni vifungu

Hivi kwanini Bongo tunaishi kama gari bovu. Ada za usajili za wachezaji haziwekwi wazi, hata malipo viwanjani nayo magumashi kibao.

Haya tuwekeeni hapa kifungu cha kanuni ya bodi ya ligi kuhusu mfungaji bora.

Ahsanteni.
Kwani si tumekubaliana kwa pamoja hicho kiatu achukue Saido Ntibazonkiza, ili kupunguza machungu kwa ndugu zetu makolo! Au kuna mabadiliko tena?
 
Kanuni zinabadilika kila mwaka?
Kabla ya kila msimu board ya Liki hutoa Kanuni zitakazotumika msimu huo wa ligi. Zisipobadilika it's okay, ila swali langu ni je, kanuni za msimu huu zinasemaje?
 
Kabla ya kila msimu board ya Liki hutoa Kanuni zitakazotumika msimu huo wa ligi. Zisipobadilika it's okay, ila swali langu ni je, kanuni za msimu huu zinasemaje?
Sasa mbona ceo wa bodi ya ligi alipohojiwa kasema mpaka kamati ya tuzo ikae?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…