Kanuni ya ulimwenguni inasema lazimisha mpaka upenye, kanuni ya Kimungu inasema jambo likikataa liache

Kanuni ya ulimwenguni inasema lazimisha mpaka upenye, kanuni ya Kimungu inasema jambo likikataa liache

Mwamuzi wa Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
15,486
Reaction score
45,256
Hello habari!

Umri wangu huu wa miaka utu uzima nimejifunza mambo mengi mno.

ASili ya binadamu ni kupenda jambo zuri hasa lile ambalo anahisi anaweza kulifikia.

Duniani kuna maelfu ya kazi, malaki na mamilioni ya wanaume kwa wanawake.

Kuna fursa nyingi za kiuchumi, kuna courses nyingi za kusoma, kuna nchi nyingi za kuishi au kutembelea.

Sasa linapokuja suala la kuchagua njia ya kuiendea hapo ndipo nafsi zetu au mapenzi yetu yanakuwa na nguvu kuliko mapenzi ya Mungu.

Ila mwisho wa safari utagundua kuwa kama ungechagua kusikiliza chaguo la Mungu ungekuwa sahihi zaidi.

Screenshot_20231124-081202.jpg
 
An object at rest stays at rest, and an object in motion stays in motion with the same speed and in the same direction unless acted upon by an external force.
 
Back
Top Bottom