Mwamuzi wa Tanzania JF-Expert Member Joined Apr 7, 2020 Posts 15,486 Reaction score 45,256 Nov 24, 2023 #1 Hello habari! Umri wangu huu wa miaka utu uzima nimejifunza mambo mengi mno. ASili ya binadamu ni kupenda jambo zuri hasa lile ambalo anahisi anaweza kulifikia. Duniani kuna maelfu ya kazi, malaki na mamilioni ya wanaume kwa wanawake. Kuna fursa nyingi za kiuchumi, kuna courses nyingi za kusoma, kuna nchi nyingi za kuishi au kutembelea. Sasa linapokuja suala la kuchagua njia ya kuiendea hapo ndipo nafsi zetu au mapenzi yetu yanakuwa na nguvu kuliko mapenzi ya Mungu. Ila mwisho wa safari utagundua kuwa kama ungechagua kusikiliza chaguo la Mungu ungekuwa sahihi zaidi.
Hello habari! Umri wangu huu wa miaka utu uzima nimejifunza mambo mengi mno. ASili ya binadamu ni kupenda jambo zuri hasa lile ambalo anahisi anaweza kulifikia. Duniani kuna maelfu ya kazi, malaki na mamilioni ya wanaume kwa wanawake. Kuna fursa nyingi za kiuchumi, kuna courses nyingi za kusoma, kuna nchi nyingi za kuishi au kutembelea. Sasa linapokuja suala la kuchagua njia ya kuiendea hapo ndipo nafsi zetu au mapenzi yetu yanakuwa na nguvu kuliko mapenzi ya Mungu. Ila mwisho wa safari utagundua kuwa kama ungechagua kusikiliza chaguo la Mungu ungekuwa sahihi zaidi.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Nov 24, 2023 #2 Za kuambiwa changanya na za kwako...
Grace glory JF-Expert Member Joined Feb 17, 2018 Posts 374 Reaction score 531 Nov 24, 2023 #3 Kuna chaguo la mungu na la nani tena?
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 23,322 Reaction score 64,738 Nov 24, 2023 #4 To everything action there is equal and opposite reaction .
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 23,322 Reaction score 64,738 Nov 24, 2023 #5 An object at rest stays at rest, and an object in motion stays in motion with the same speed and in the same direction unless acted upon by an external force.
An object at rest stays at rest, and an object in motion stays in motion with the same speed and in the same direction unless acted upon by an external force.
Grace glory JF-Expert Member Joined Feb 17, 2018 Posts 374 Reaction score 531 Nov 25, 2023 #6 min -me said: To everything action there is equal and opposite reaction . Click to expand... Hapana sio kweli hata kidogo em niambie kinyume cha kiswahili ni nini? Na kinyume cha mda ni nini?
min -me said: To everything action there is equal and opposite reaction . Click to expand... Hapana sio kweli hata kidogo em niambie kinyume cha kiswahili ni nini? Na kinyume cha mda ni nini?