Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
I am blessed
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi neno mungu maana yake ni nini???
Cc; jimena, aretasludovick
Ni kile unachokiabudu
kuabudu maana yake ni nini???
twende hivi hivi taratibu...
Kile unachokivulia heshima zako na kukifanya kitawale maamuzi yako.
Au kujiona ndio kimekuumba na bila hicho wewe haupo.
vizuri sana... ..
mungu maana yake ni kitu unachokiabudu, na kuabudu maana yake ni kile unachokivulia heshima zako na kukifanya kitawale maamuzi yako au kuona ndio kimekuumba na bila hicho huwezi kuwepo.
kwa maana hiyo mungu ni kitu chochote unachokiamin na kukiabudu.
vizuri sana... ..
mungu maana yake ni kitu unachokiabudu, na kuabudu maana yake ni kile unachokivulia heshima zako na kukifanya kitawale maamuzi yako au kuona ndio kimekuumba na bila hicho huwezi kuwepo.
kwa maana hiyo mungu ni kitu chochote unachokiamin na kukiabudu.
kwa maana hii ... miti,mawe,jua,mwezi,shetani ,yesu,Mohammed,ng·ombe n.k ni mungu??? aretasludovick
Kama kuna ambacho unakiabudu hapo ndio mungu kwa upande wako.
Vivyo hivyo na kwa mwingine ndio hivyo pia
Gooood... .. . aretasludovick
Swali langu la mwisho kwako:~ Ni sifa zipi zinazofanya umungu (sababu zinazofanya kitu kionekane ni mungu)
Gooood... .. . aretasludovick
Swali langu la mwisho kwako:~ Ni sifa zipi zinazofanya umungu (sababu zinazofanya kitu kionekane ni mungu)
Mkuu Bennie 369 Hebu muache aretasludovick mbona jibu rahisi tu nyie mnazunguka zunguka? Mungu ni Myth.
teh teh teh teh.... naona umekuja kumsaidia???
myths ninavyojua mimi ni zile story kutoka kwa wazee wazamani katika kuelezea jambo katika hali ya kawaida/kufikirika na ni vitu ambavyo havipo au vya uongo,
kwa maana hiyo Jimena unamaanisha kuwa mungu&Mungu ni mapokeo tu kwetu ila hakuna uhalisia wowote juu yake???
Uko sawa kabisa mkuu wala hukukosea
kipindi upo shule ya msingi au sekondari kuna watu walishawahi kuja shuleni kwenu ambapo wanaweza kumchukua chura alafu akaonekana ni nyoka au wanaweza kuchukua makaratasi yakawa hela, walikuwa wanaitwa wana mazingaombwe je ulishawah kushuhudia Jimena
Ndio nimeshawahi kushuhudia mazingaombwe wakati niko shule
unaweza kuthibitisha kuwa ile ni aina gani ya nguvu inayotumika kufanya vile vitu kubadilika? au unajua hii ni aina gan ya nguvu inay0tumika???
YouTube kuna video zinazoonyesha jinsi wanavyofanya.