Kwa hiyo mnataka timu ya tajiri wa Simba Stand United ndio ishuke daraja?kwa mujibu wa kanuni zinazopatikana kwenye website ya bodi ya ligi http://tplboard.co.tz/downloads kagera anatakiwa kucheza play off na si kushuhwa daraja mooja kwa moja kanuni namba 7 kipengele cha tatu ambapo kagera ana goal difference kubwa kuliko stand
Kwa hiyo mnataka timu ya tajiri wa Simba Stand United ndio ishuke daraja?
sijui wameiga wapi hiliSoka la bongo michosho ata ukiangali namna timu zinazo kwenda kucheza playoff yaan timu ipo nafasi ya 18 eti inaenda kucheza playoff? huu ulimbukeni mmeutoa wap? timu ya 18 inabidi ishuke daraja sio kucheza playoff yani kwamfano timu zilizo shika nafasi ya 17 na 18 zikicheza playoff alafu zikafuzu kwa maana hiyo tutakua na timu 2 tu zilizo panda daraja hii itakua inaziumiza timu za daraja la kwanza haiwezekani timu zipambane kupanda daraja halafu eti timu nyingine zilizo shindwa kukomaa zisishuke daraja tena mnazipatia playoff ili iweje?
huyo afisa wa TFF ni nani, mbona wamebatilisha sasa, ni nani yuko sahihi?Kama nilimsikia afisa mmoja tff akisema hiyo kanuni ilifanyiwa marekebisho kuwa wanaangalia michezo waliocheza kagera na stand ambapo mchezo mmoja kagera alishinda 2 na mchezo wa pili stand ilishinda 3.hivyo kwa mujibu wa kanuni hizo mpya stand anapata nafasi kwa kuwa stand ndo alifanya vizuri kwenye hizo mechi walizocheza.
Kama nilimsikia afisa mmoja tff akisema hiyo kanuni ilifanyiwa marekebisho kuwa wanaangalia michezo waliocheza kagera na stand ambapo mchezo mmoja kagera alishinda 2 na mchezo wa pili stand ilishinda 3.hivyo kwa mujibu wa kanuni hizo mpya stand anapata nafasi kwa kuwa stand ndo alifanya vizuri kwenye hizo mechi walizocheza.
Kama timu inataka kupanda daraja inashindwa kupambana na mtu alieshika nafasi za mwisho kwenye ligi..huko ligi kuu anaenda kufanya nini??Soka la bongo michosho ata ukiangali namna timu zinazo kwenda kucheza playoff yaan timu ipo nafasi ya 18 eti inaenda kucheza playoff? huu ulimbukeni mmeutoa wap? timu ya 18 inabidi ishuke daraja sio kucheza playoff yani kwamfano timu zilizo shika nafasi ya 17 na 18 zikicheza playoff alafu zikafuzu kwa maana hiyo tutakua na timu 2 tu zilizo panda daraja hii itakua inaziumiza timu za daraja la kwanza haiwezekani timu zipambane kupanda daraja halafu eti timu nyingine zilizo shindwa kukomaa zisishuke daraja tena mnazipatia playoff ili iweje?
Kwahiyo km Simba na Yanga zingefungana point alafu yanga angekuwa na magoli mengi kuliko Simba, Simba angepewa ubingwa kisa mechi ya kwanza walidroo na ya pili Simba alishinda!!!Kama nilimsikia afisa mmoja tff akisema hiyo kanuni ilifanyiwa marekebisho kuwa wanaangalia michezo waliocheza kagera na stand ambapo mchezo mmoja kagera alishinda 2 na mchezo wa pili stand ilishinda 3.hivyo kwa mujibu wa kanuni hizo mpya stand anapata nafasi kwa kuwa stand ndo alifanya vizuri kwenye hizo mechi walizocheza.