Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
Sio uzwazwa, ni makubaliano ya vilabu au timu zote zinazoshiriki kabla ya mashindano kuanza, ndio yanayounda kanuni. Kila mashindano yanatakiwa yawe na kanuni zake, hata kama zinafanana na za mashindano ya mwaka uliopita, yanatakiwa yapitishwe na bodi (inayoundwa na vilabu vyote)Kwahiyo km Simba na Yanga zingefungana point alafu yanga angekuwa na magoli mengi kuliko Simba, Simba angepewa ubingwa kisa mechi ya kwanza walidroo na ya pili Simba alishinda!!!
Huu ni uzwazwa
Hiyo kanuni unayosema ni uzwazwa ndio iliyoipeleka Angola katika World Cup 2006 ambapo zililingana point na Nigeria, lakini Angola alikuwa bora katika aggregate na si katika goal difference