Kanuni za Bodi ya Ligi hizi hapa, Kagera kaonewa!

Kwahiyo km Simba na Yanga zingefungana point alafu yanga angekuwa na magoli mengi kuliko Simba, Simba angepewa ubingwa kisa mechi ya kwanza walidroo na ya pili Simba alishinda!!!

Huu ni uzwazwa
Sio uzwazwa, ni makubaliano ya vilabu au timu zote zinazoshiriki kabla ya mashindano kuanza, ndio yanayounda kanuni. Kila mashindano yanatakiwa yawe na kanuni zake, hata kama zinafanana na za mashindano ya mwaka uliopita, yanatakiwa yapitishwe na bodi (inayoundwa na vilabu vyote)
Hiyo kanuni unayosema ni uzwazwa ndio iliyoipeleka Angola katika World Cup 2006 ambapo zililingana point na Nigeria, lakini Angola alikuwa bora katika aggregate na si katika goal difference

1111353
 
View attachment 1111353
Ligi kuu ina kanuni zake fixed duniani kote usifananishe na mashindano mengine
 
Ha ha haaa! Usichekeshe walionuna. Kanuni za mashindano haziko fixed, tena si duniani kote tu, bali hata mwaka hadi mwaka katika nchi husika. Ukisema ziko fixed nitakuulliza maswali haya:
1. Kanuni ya golden goal ilitumika katika kombe la dunia la mwaka 2002, na Senegal waliitoa Sweden kwa golden goal rule (yaani ukifunga goli katika muda wa dakika 30 za nyongeza game linaisha hapo hapo}. Je, inatumika kila mahali?
2. Kanuni ya silver goal ilitumika UEFA 2003 na Ajax waliitoa Grazer AK kwa silver goal rule (yaani katika dakika 30 za nyongeza, likipatikana goli zitamaliziwa dakika zilizobaki hadi dakika 15 zitakapotimia, game litaisha) . Je, inatumika kila mahali?
3. Kombe la dunia la mwaka jana, Senegal walilingana kila kitu na ikaangaliwa nani ana kadi chache nyekundu na njano (fair play), Senegal wakatolewa. Je, ni kila mahali ipo hivyo?
 
Majibu:

1. Umeongelea Kombe la Dunia na sio Premier league

2. Umeongelea UEFA sio Premier league

3. Umeongelea tena Kombe la Dunia sio Premier league

Mimi nimekwambia Premier league iko fixed duniani kote sio mashindano hayo mengine
 
Kanuni zinatofautiana ndugu, sio fixed duniani kote hata kwa premier leagues. Mfano ni huu:
1. 2018/2019 Tanzania zinateremka daraja timu mbili moja kwa moja, na mbili nyingine zinacheza na timu iliyoshika nafasi ya tatu na nne ya daraja la kwanza, wakati EPL (England) zinashuka timu tatu moja kwa moja
2. 2018/2019 Tanzania mkilingana point inafuata goal difference, halafu goal scored, halafu aggregate, halafu playoff, wakati EPL kuna goal difference, halafu goal scored, halafu halafu playoff kama kuna timu ya kuchukua ubingwa au kushuka daraja. EPL hakuna aggregate.
Sasa iweje useme kanuni za ligi za Premier ni zile zile duniani kote? Hujui ila unakomaa tu
 
Kama nilimsikia afisa mmoja tff akisema hiyo kanuni ilifanyiwa marekebisho kuwa wanaangalia michezo waliocheza kagera na stand ambapo mchezo mmoja kagera alishinda 2 na mchezo wa pili stand ilishinda 3.hivyo kwa mujibu wa kanuni hizo mpya stand anapata nafasi kwa kuwa stand ndo alifanya vizuri kwenye hizo mechi walizocheza.
Fanya kama mwenzako tusaidie hizo kanuni mpya
 
Bodi ya ligi wapuuzi sana, kuna mambo ya kijinga jinga sana wamefanya msimu huu
 
TFF hii ni mbovu kuliko zote huyo rais wao anachojua ni kuifanya shirikisho kama taasisi ya ccm
 
Back
Top Bottom