Kanuni za mchezo zimebadilika, mahusiano hayapo kama yalivyokua hapo awali

Kanuni za mchezo zimebadilika, mahusiano hayapo kama yalivyokua hapo awali

Natafuta Ajira

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2020
Posts
9,016
Reaction score
24,650
Asili ya muingiliano wa mahusiano baina ya mwanaume na mwanamke kila upande una jukumu lake. Mwanaume ni provider na protector, mwanamke ni reciever na helper, na huu ndio ulikua msingi wa kumuweka mwanamke kando kwenye masuala magumu na muhimu.

Bahati mbaya hapo karne za katikati kuna baadhi ya nadharia ziliibuka kupingana na iyo asili ya muingiliano wa mahusiano, mfano wa nadharia izo ni 50/50, feminism n.k

Ni wazi, wakati wanawake wanapigania haki sawa, hawakuwaza kwamba iyo haki sawa itakuja na wajibu sawa, hawakujua stress na presha za kuwa main character.

Mwanzo zilionekana na movements njema zenye lengo la kumwinua mwanamke lakini kadili miaka inavyoenda tunaona movements hizi zinabadilisha uelekeo.

Kwa sasa lengo kubwa la hizi movements ni kusimika woman supremacy na kumwondolea mwanaume misingi yake yote ya utawala, sasa hapa ndipo wanaume tunatakiwa kuchukua hatua vinginevyo kizazi cha mwanaume halisi kinaenda kupotea.

Tunaishi katika dunia ambayo mwanaume kaaminishwa kushusha standard zake na kukubaliana na disrespects na past chafu ya mwanamke ndio gentleman, wakati mwanamke kaaminishwa woman supremacy ndio 50/50.

Kupitia hizi movements za 50/50 na ufeminia mwanamke kaaminishwa kiburi na ujeuri ndio kujitambua, kaaminishwa kuzulula ovyo ovyo tena mpaka nyakati za usiku wa manane na kufanya ngono kiholela holela ndio uhuru.

Mfumo huu wa maisha ambao umesimikwa duniani kote kwa kiasi kikubwa umefanikiwa kudhohofisha akili za wanaume na kukubali kushusha heshima yao na uanaume wao na kumtukuza mwanamke.

Mfano mzuri kwenye jamii yetu mwanamke hata akiwa masikini, hata akiwa malaya bado anaweka standards za juu kwa mwanaume anaemtaka, lakini waambie wanaume waweke standard za juu kwa mwanamke mfano kuoa bikira, wanaume wenzako ndio watakupinga, wamepumbazwa na mfumo jike na kukubali kushusha thamani ya uanaume wao.

Bahati mbaya sana jamii ya wanaume wengi bado hawajui kwamba mchezo umebadilika. Hii batch ya wanawake wa kisasa tulionao mtaani sio ile batch ya mama na bibi zetu. Naweza kusema kati ya vizazi vyote vya wanawake kizazi cha sasa ndicho kizazi ambacho hakistahili kabisa loyalty na sacrifices za mwanaume.

For many women relationships and marriage in general are no longer represent a lifelong commitment but rather a temporary phase until temptation proves too strong.

Stay sharp my brothers, relationships aren't what they used to be, and the game has changed. Understand what you are getting into, set high standards and never let liberalism to enter your family, family is a conservative institute.
 
"kati ya vizazi vyote vya wanawake kizazi cha sasa ndicho kizazi ambacho hakistahili kabisa loyalty na sacrifices za mwanaume."
 
Back
Top Bottom