Song of Solomon
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 2,752
- 5,609
Ya 3. [emoji849][emoji849]1. Kwenye mpira wa goal kick hakuna offside. U can't be Offside from a goal kick.
2. Goli halihesabiwi ikiwa mpira ulikuwa hauna upepo (Flat) wakati unapigwa.
3. Mwamuzi anaruhusiwa kukuonesha kadi ya njano ikiwa umempiga chenga za maudhi zenye nia ya kumdharirisha mpinzani wako.
4. Utaoneshwa kadi ya njano na mpinzani wako atapewa kona ikiwa umejifunga goli kwa makusudi / Kwa kudhamiria.
- Mwamuzi anapaswa kujiridhisha kuwa umejifunga kwa makusudi ndipo akuadhibu.
5. Mchezaji anaweza kukataa kufanyiwa sub. Hakuna adhabu iliyoainishwa.
6. Mpira wa kurusha ukiingia golini bila kuguswa na mchezaji yeyote sio goli.
Ongezea na wewe......View attachment 2154901
Kweli kabisaMpira wa kurusha hauna offside
Hapana halihesabikiHivi mchezaji akijifunga goli , huwa pia linahesabiwa miongoni mwa magoli yake aliyowafunga timu pinzani?
HapanaHivi mchezaji akijifunga goli , huwa pia linahesabiwa miongoni mwa magoli yake aliyowafunga timu pinzani?
Asante sanaHapana halihesabiki
Karibu mkuuAsante sana
Ni kama kujinyonga.Hivi mchezaji akijifunga goli , huwa pia linahesabiwa miongoni mwa magoli yake aliyowafunga timu pinzani?
Hii inaleta simanzi kwa mashabiki wa yanga na critics wa goli la sakho kwa ujumlaHuwezi kuwa offside hata kama upo katika nafasi ya offside kama tu hautaingilia mchezo (interfering play).
Ukizidi mkono hai-count kama offside as huwezi kufunga kwa kutumia mkonoMchezaji akizidi kichwa, mkono, bega ni offside.