Song of Solomon
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 2,752
- 5,609
1. Kwenye mpira wa goal kick hakuna offside. U can't be Offside from a goal kick.
2. Goli halihesabiwi ikiwa mpira ulikuwa hauna upepo (Flat) wakati unapigwa.
3. Mwamuzi anaruhusiwa kukuonesha kadi ya njano ikiwa umempiga chenga za maudhi zenye nia ya kumdharirisha mpinzani wako.
4. Utaoneshwa kadi ya njano na mpinzani wako atapewa kona ikiwa umejifunga goli kwa makusudi / Kwa kudhamiria.
- Mwamuzi anapaswa kujiridhisha kuwa umejifunga kwa makusudi ndipo akuadhibu.
5. Mchezaji anaweza kukataa kufanyiwa sub. Hakuna adhabu iliyoainishwa.
6. Mpira wa kurusha ukiingia golini bila kuguswa na mchezaji yeyote sio goli.
Ongezea na wewe.