Kanuni za soka ambazo huzijui!

No 4. Kwahiyo halitakuwa goli? Sasa kona inapatikana vipi wakati mpira uko nyavuni?.
 
Linesman anaruhuaiwa kuingia uwanjani wakati mpira unaendelea yaani kua karibu na tukio.

Magolikipa hawarusiwi kuvaa jezi zinazofanana rangi ( yaani kipa wa timu A hatakiwi kuvaa jezi kama ya kipa wa timu B)
Wanaepushaje hili?

Wachezaji wa ndani kwao imekaaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…