Panzi Mbishi
JF-Expert Member
- Mar 8, 2021
- 2,231
- 2,904
Sipendi soka ila nimeupenda uzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daah ingekuwa hivyo Kuna wachezaji wangekuwa wanajiweka wakiona kwa mpinzani kugumu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hivi mchezaji akijifunga goli , huwa pia linahesabiwa miongoni mwa magoli yake aliyowafunga timu pinzani?
Naikumbuka hii, Sarri anasusa anaenda change roomNamba 5 imenikumbusha pazia moja linaitwa Kepa Arizzibalaga liliwahi kukataa kutolewa na kocha Sarri pale Chelsea.
Karibu sana soka ni mchezo mzuri sana kuufuatilia, unatulipa mashabiki via bettingSipendi soka ila nimeupenda uzi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mkuu wakikusikia wenyeweKuna ile ya goli kuwa kona sijui ni kanuni ya ngapi
waje maana wanajifanya var wa caf[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mkuu wakikusikia wenyewe
Sawa mkuu jiandae kwa mashambulizi [emoji16][emoji16]waje maana wanajifanya var wa caf
Ingekuwa vyema uende pale ni karibu sana na eneo la kuwaka Moto utapewa jibuwaje maana wanajifanya var wa caf
Wanaepushaje hili?Linesman anaruhuaiwa kuingia uwanjani wakati mpira unaendelea yaani kua karibu na tukio.
Magolikipa hawarusiwi kuvaa jezi zinazofanana rangi ( yaani kipa wa timu A hatakiwi kuvaa jezi kama ya kipa wa timu B)
Kabla ya match huwa kuna kikao "pre-match meeting" moja ya agenda huwa ni makubaliano ya jezi zitakazo tumika.Wanaepushaje hili?
Wachezaji wa ndani kwao imekaaje?
AsanteKabla ya match huwa kuna kikao "pre-match meeting" moja ya agenda huwa ni makubaliano ya jezi zitakazo tumika.
LKn wanakwambia hTa kuruka kuupisha Mpira ni kuuingilia au kutingishika kidgoHii inaleta simanzi kwa mashabiki wa yanga na critics wa goli la sakho kwa ujumla
Pale aliitumia ile mbinu kwenda kuvuta sigaraNaikumbuka hii, Sarri anasusa anaenda change room
Jamani[emoji38]Pale aliitumia ile mbinu kwenda kuvuta sigara
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Daah me sikuwaza huko kbisa, sema mzee sarr naye kwa fegiPale aliitumia ile mbinu kwenda kuvuta sigara
Nahisi kama siyo kweli,Huwezi kuwa offside hata kama upo katika nafasi ya offside kama tu hautaingilia mchezo (interfering play).