mshale21
JF-Expert Member
- Apr 8, 2021
- 2,517
- 6,074
Wakuu Salaam za pasaka kutoka viunga vya Tanzania!
Bila kuwachosha, mada tajwa hapo juu yajieleza.
Mimi binafsi sitapoteza muda wangu kwenda kupiga kura, maana ni kijipotezea fedha na muda wa kupata fedha.
Mwisho, amani ya Bwana wetu kristo Yesu iwe nanyi.