Kanuni zikitumika kwa haki basi mfungaji bora ni Saido Ntibazonkiza

Kanuni zikitumika kwa haki basi mfungaji bora ni Saido Ntibazonkiza

This is...

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2014
Posts
5,050
Reaction score
5,204
CEO wa bodi ya ligi Tanzania (TPLB), Almas Kasongo amesema kuwa Kamati ya Tuzo itaenda kukaa na kupitia vigezo gani vitatumika ili kuamua nani atapewa kiatu cha ufungaji bora wa ligi kuu ya NBC kwa msimu 2022/23 kati ya Fiston Mayele wa Yanga na Said Ntibazonkiza wa
Simba baada ya kulingana kwa kufunga magoli 17 Kila mmoja.

Iwapo Kamati ya Tuzo itatumia kigezo cha magoli mengi ya penati mfungaji Bora atakuwa mshambuliaji wa Yanga, Fiston Mayele.

Iwapo itatumia kigezo cha Assists nyingi mfungaji bora atakuwa mshambuliaji wa Simba, Said Ntibazonkiza na iwapo watatumia kigezo cha magoli wote (Mayele na Saido) watapewa kiatu cha ufungaji Bora.
 
Iko wazi kwa TFF ikitokea wachezaji wawili au zaidi wamelingana kwa idadi ya mabao creteria inayo tumika ni yupi mwenye mabao machache ya penalty ndiye anachukua kikombe kama imetokea wamelingana tunaangalia assist walizotoa.

Kwa ile rede waliyo cheza Thimba na police ikowazi saido hapati kiatu labda apate kitu kidogo.
 
Iko wazi wapi??.. kanuni ipi hiyo ya tff inasema hivyo??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa hapa ndo umeweka nini..!? Mbona heading na content ni tofauti?
Ni kama kwenye ubingwa, mkiwa na point sawa, then magoli ya kufunga, mkiwa sawa then magoli ya kufungwa..! Kwenye kiatu, mkiwa sawa, then inaangaliwa, katika magoli uliyofunga kuna ya penati mangapi..!? Kwa Mayele na Saido Mayele anachukua kwa sababu katika magoli yake hana magoli ya penati
 
FB_IMG_1686327652373~2.jpg
 
Iko wazi kwa TFF ikitokea wachezaji wawili au zaidi wamelingana kwa idadi ya mabao creteria inayo tumika ni yupi mwenye mabao machache ya penalty ndiye anachukua kikombe kama imetokea wamelingana tunaangalia assist walizotoa.

Kwa ile rede waliyo cheza Thimba na police ikowazi saido hapati kiatu labda apate kitu kidogo.
Alaumiwe aliyekuwa anapewa kupiga penati halafu badala ya kupiga yeye anatingisha maziwa penati zinapaa.

Hakuna namna Ntibazokiza ndiye mfungaji bora msimu huu . Huyo mwingine aendelee tu kutingishia wanaume maziwa
 
Saidoo ana magoli saba ya penati,

Halafu vipi kanuni kila msimu zinabadilika?

Msimu uliopita Kipindi mpole analingana na mayele walisema wataangalia mwenye magoli machache ya penati
Msimu huu kulikoni🙄
 
Kamati ya tuzo inaundwa na wadau kutoka simba na yanga,rais mwenyewe ni simba,mnatarajia matokeo yatakuwaje???..mbona simple tu watagawana zawadi acheni kujadili hoja mfu kama hizo
 
Kwa nini hizo kanuni zisiwe za kudumu kwa misimu yote?

Akili za zimamoto hizi, mpaka mpigiwe simu ya ajali ya moto ndiyo muanze kutafuta maji!
 
Back
Top Bottom