niachiemimi
JF-Expert Member
- Feb 18, 2015
- 3,606
- 5,295
Am not voting for Diamond.
Uzalendo aliondoka nao mwalimu nyerere!
Kama nakukera sana jitie dole la m..ndu!
Ha ha ha we Umefanya research? Kwani hiyo ni post au comment kasearch upya lewooooooo
Wamepatwa na kiwewe jaman...mpaka kufungua account fekeroo...bwahahahah...
Hii ndio account halali ya davido....zaidi ya hii ni mapishi ya wafuasi Wa Mr roporopo
Kwi kwi kwi ana dp ipi? Account ya davido kaweka hiyo picha ya kiganja kimeshika kimdoliNmefanya research na dissertation nimeandaa kwanA hata iyo dp sio ya ig account ya davido.
Ha ha ha unamaanishaje kwamba ile kitu ya diamond haitakiwi ku cross ze bodaUpo sahihi, ona sasa yupo na Zari wakati wewe ulikuwa Mtanzania mwenzake
Kwi kwi kwi ana dp ipi? Account ya davido kaweka hiyo picha ya kiganja kimeshika kimdoli
Acha uongo wako!
Uwe unafanya research...
Nmetoka kwenye account ya Davido hamna kitu kama hicho.
Kwanini huwa mnapenda kuzusha zusha vitu visivyo na uthibitisho yakinifu?
Mnatia aibu!
😱😱😡
Nifanye risechi nani atanilipa kwa muda wangu gani juu ya udaku? Aaaghh leo sio ya kumsimanga Diamond ndio unasema haya na sie tunajua kuleta udaku jamani humu.
Kubalini aibu inatembezwa na wa Tanzania wa Ajegunle, mumus.
Hii ndio account halali ya davido....zaidi ya hii ni mapishi ya wafuasi Wa Mr roporopo
Tabu watanzania wengi hamkubali sababu mnazani Instagram ndio maisha khaaaaaa
Embu mjizoeshe na mengine ya mtandaoni basi
Haya oneni hawa wanaotutia aibu kuja na kujibiwa huku ma komenti zaidi ya miatano kusakizia ugomvi kila kitu
Hizi ni chache zingine zinatia aibu kuziweka....
Na mjishangilie big MUMUs, Ajegunle people nyie watanzania wote mnaompigia kula, hata Davido anawaelewa na kuwaonea kuwashangaaaaaaa.....aaaaaggghh
Oneni baadhi ya hawa ajegunle people of Tanzania uamuzi wao
View attachment 261081
View attachment 261082
View attachment 261083
kasechi insta hakuna accc fekero ya jina hilo, ndio maana inabidi musechi nyie mtandaoni ni account ya wapi no kusaidiwa hapa. Ukweli unauma