(Kanusho): Davido ajibu wanaomvotia tuzo za MAMA 2015

(Kanusho): Davido ajibu wanaomvotia tuzo za MAMA 2015

Status
Not open for further replies.
Tabu watanzania wengi hamkubali sababu mnazani Instagram ndio maisha khaaaaaa

Embu mjizoeshe na mengine ya mtandaoni basi

Haya oneni hawa wanaotutia aibu kuja na kujibiwa huku ma komenti zaidi ya miatano kusakizia ugomvi kila kitu

Hizi ni chache zingine zinatia aibu kuziweka....

Na mjishangilie big MUMUs, Ajegunle people nyie watanzania wote mnaompigia kula, hata Davido anawaelewa na kuwaonea kuwashangaaaaaaa.....aaaaaggghh

Oneni baadhi ya hawa ajegunle people of Tanzania uamuzi wao

1434531466770.jpg

1434531497129.jpg

1434531517269.jpg
 
Wengine wakimbizi tunawaita watanzania.
 
Kwi kwi kwi ana dp ipi? Account ya davido kaweka hiyo picha ya kiganja kimeshika kimdoli

Nasema iviii sio ya kwakeee!
Na mie namjibu iviiii,"am sole davido, ego am gonna vote vote and vote until I die, u dont want that u gonna have to kill me ooo!"
 
Acha uongo wako!
Uwe unafanya research...
Nmetoka kwenye account ya Davido hamna kitu kama hicho.
Kwanini huwa mnapenda kuzusha zusha vitu visivyo na uthibitisho yakinifu?
Mnatia aibu!
😱😱😡

Nifanye risechi nani atanilipa kwa muda wangu gani juu ya udaku? Aaaghh leo sio ya kumsimanga Diamond ndio unasema haya na sie tunajua kuleta udaku jamani humu.

Kubalini aibu inatembezwa na wa Tanzania wa Ajegunle, mumus.
 
Wamepatwa na kiwewe jaman...mpaka kufungua account fekeroo...bwahahahah...

Kasechi insta hakuna accc fekero ya jina hilo, ndio maana inabidi musechi nyie mtandaoni ni account ya wapi no kusaidiwa hapa. Ukweli unauma
 
Nifanye risechi nani atanilipa kwa muda wangu gani juu ya udaku? Aaaghh leo sio ya kumsimanga Diamond ndio unasema haya na sie tunajua kuleta udaku jamani humu.

Kubalini aibu inatembezwa na wa Tanzania wa Ajegunle, mumus.

Am gonna vote, and vote! And vote agaiiin and agaiiiin....vote vote! And voteeee....not for Diamond!
 
Wakina wema na jokate wanapromote kumdis dai kwa sababu ya kugongwa na kuachwa sasa unakuta janaume zima kama idris eti nalo linapromote kwnye insta vote for davido, sasa swali ni je na wao waligongwa na dai ama??? mnatudhalilisha wanaume bana...mambo ya kike waachieni wanawake mnatia aibu...yule kadinda simshangai kwa sababu na yeye anakojoa kwa kuchuchumaa tu ss nyie wengine namna gani??? :smow:
 
Tabu watanzania wengi hamkubali sababu mnazani Instagram ndio maisha khaaaaaa

Embu mjizoeshe na mengine ya mtandaoni basi

Haya oneni hawa wanaotutia aibu kuja na kujibiwa huku ma komenti zaidi ya miatano kusakizia ugomvi kila kitu

Hizi ni chache zingine zinatia aibu kuziweka....

Na mjishangilie big MUMUs, Ajegunle people nyie watanzania wote mnaompigia kula, hata Davido anawaelewa na kuwaonea kuwashangaaaaaaa.....aaaaaggghh

Oneni baadhi ya hawa ajegunle people of Tanzania uamuzi wao

View attachment 261081

View attachment 261082

View attachment 261083

kuna ubaya kwani...?!$
jamani hatununuliani mabandoo..
 
kasechi insta hakuna accc fekero ya jina hilo, ndio maana inabidi musechi nyie mtandaoni ni account ya wapi no kusaidiwa hapa. Ukweli unauma

owo ni coco...sina mda wa kwenda kutafuta hiyo fekero account no wonder wewe ndo umefungua uka-screen shot then ukafuta..kwani mnashindwa kitu nyie...funny enough mmeweka na kidani kabsa..!! Mbona umetoa sasa iyo accont feki uliyosema davido katuchana?? Shame on u..!! Kuwa na uhakika kwanza ndo ukuje kumwaga mambo yenu hapa vinginevyo mtaishia kuumbuka...chaii i still voting to him oh
 
ila kwenda kutukaniana kwenye page za watu ni kujidhalilisha sana....page ya davido hajampost wema wala mond lakini mitusi tuu watu wanaporomosha ni aibu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom