charty
JF-Expert Member
- Oct 28, 2013
- 7,460
- 5,992
ewaaaaa, umemaliza yote mumy...
Sijawahi kuona upuuzi kama huu wa kulazimishana kumpigia mtu kura kwa kigezo cha uzalendo.
mimi nilishasema sio mtanzania, sasa sijui wataniambia nini tena.
hapo kwenye red panenichekesha kwa kweli..ngoja nikupe nchi kabsa from now on nifah ni mnyarwanda...bwahahahah kazi wanayo alafu wanakulazimisha hata bandle hawakulipii..kwanza ye alisema kabat lake limeshajaa vip tena anataka uzalendo...tutamfurahisha mwaka huu..