Binti Magufuli
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 7,479
- 5,157
Kauli yako, amri yangu Mrembo by Nature. Hii campaign ni baab kubwa.
Tutafanya hivyo madame usijali.
Watakubali tu, hahahahaaa.
Nmefanya research na dissertation nimeandaa kwanA hata iyo dp sio ya ig account ya davido.
Nasema iviii sio ya kwakeee!
Na mie namjibu iviiii,"am sole davido, ego am gonna vote vote and vote until I die, u dont want that u gonna have to kill me ooo!"
Baambie baelewe na vihede mswede vyao...
wazee wa fekero account...
Aibu yaoooo
Na kura hatuwachi kupigaaa...
Nkizoom inakua haikoclear ngoja nkacheki huko hukoKwa davido instagram, haswa yenye picha ya twitter ndio wamejazana humo comments zaidi ya 500.
Ila kwa touch unaweza zoom na vidole ukishabonyeza picha hizo.
hahaha yule ujue sio rizki so simshangai....vote vote vote
hehehh I go land you a slap ooo!!!
Kila mahala wachawi mpo tu mnaumbua teh! teh!
Kauli yako, amri yangu Mrembo by Nature. Hii campaign ni baab kubwa.
Tutafanya hivyo madame usijali.
Watakubali tu, hahahahaaa.
hahahaaa watu wanashushukaje sasa!!
Walituzoea sana sie
"Kauli yako, amri 'kwangu'"
Hahah naona kama nawe umekerekwa sasa. Me to am not in th mood xo letx chillax"
Hao ndio wazee wa Lambojini hawamshangai boss wao kujiita Dangote.
Mi nafurah tu vile team PLATNUMZ tunavyoyapuuza. Wanajibizana wenyewe. Hahahahahahahaha...
haha wewe ni mofooo hahaha vita ni vita mura...vita haina mmacho kumbuka. me niko busy navote samahani usinipotezee muda wa kujibu