(Kanusho): Davido ajibu wanaomvotia tuzo za MAMA 2015

Status
Not open for further replies.
Nifanye risechi nani atanilipa kwa muda wangu gani juu ya udaku? Aaaghh leo sio ya kumsimanga Diamond ndio unasema haya na sie tunajua kuleta udaku jamani humu.

Kubalini aibu inatembezwa na wa Tanzania wa Ajegunle, mumus.

Heheheeee nani atakulipa?? Ungetulia sio unaleta pumba zako
 
Sisi ambao hatujatokea Ajegunle tutampigia kura MTANZANIA MWENZETU Diamond Platnumz

Mnatia aibu kuonea wivu mtanzania mwenzenubwakati uhusiano ulikuwa wa wema na sio wenu khaaaa kufata vikumbo mumus

View attachment 261119

My dear mzurimie I would advise you not to respond. Let them do what they wish. None of them wrote any songs and neither did they sing for him. They didn't know him when he was selling mitumba, they knew him when he sang well. None of these people here put him where he is now ingawa they would like to believe they did. Diamond makes money in and out of Tanzania. The more you respond the more they believe they are bringing Diamond down. Well, it is allowed to dream. Wenye akili zao wanaelewa. Time will tell.
 
Hapa jf mnasisitiza uzalendo ni kwa domo tuu
Sisi wahamiaji tuu ndio tunamtaja Vanessa Mdee!
We are proud of you Vee Money! Lazima ushindeee!
Vote! Vote! Vote!
Vote for wizkidayooo, vote for davidooo, vote for veee moneyyy
 
gazeti ni ishara ya kupaniki...sisi ndio watanzania bwana tumechoka kila sekta. yani mafanikio yako tena mimi nanunua cd zako nakuvotia deile leo unidharau as if amekuwa raisi wa dunia?? no way ndimu zote anakula yeye

Ndimu zimedundaaa tunataka Tindikali kabisaaa, uzalendo my foot!
 

Asante mamy yaani navote category moja nusu saa nahamie ingine na vile sina limit kwenye kuvote watafurahi na shoo
 
Last edited by a moderator:
nifah et al hatimaye wameomba pooo
 

Attachments

  • 1434539409671.jpg
    60 KB · Views: 115
Last edited by a moderator:
Hahahahaaa, mwenyewe kaona kaanzisha bonge la sred ambalo litatukimbiza wote badala yake kakimbia yeye.
Aibuje sasa?

Hahahahahaaaaaaaaaaa kapata umbea huko hajaufanyia upepelelezi akaja resi kuanzisha uzi hahahahaahaaahsas yaaan nimecheka sana leoo jaman
 
Ndimu zimedundaaa tunataka Tindikali kabisaaa, uzalendo my foot!

Hahahahaaa, hao wanaopiga kelele uzalendo ndio haohao wanaoponda vya nyumbani.
Wanamsifia Zari na kumponda Wema kila leo, uzalendo wao uko kwa domo tu.
Wakafie Mbalizi huko na uzalendo wao...
 
Mwenyewe kwenye post yake aliyoanzishia sred kasema tumejitia aibu, alivyogundua kachemka kakimbiaje?
Hahahahaaa

Inaitwa HOAX!
Ivi wanafikiri wanamziki wa kimataifa kama Davido ambaye wanamcopy hadi kuramba midomo ana tabia za kike kurambisha mashabiki ndimu kama vile unawasuta?!
Uswahili Mwisho Tandale, naija ni loyal sana kwa mashabiki.
#Ndimutumesusatunataka tindikali
 
Jamani kuna namba chafu humu ndani loooh hahahahahahaahahha watu mnachamba nyieee na wakati mwenzenu kaanzisha bonge la sred kwikwikwiiiii mbavu zangu mie.
Basi siku njingine mzurimie ukipata taarifa peleleza sio unabwia kama madawa ya kulevya.
Ona sasa ulivyochambwaaa...hahahaaaaaa
Akuuuu bora mimi sio team domo maana kwa vichambo vya nyie watu ningeshakufa.
 
Last edited by a moderator:
Jamani Ms.Lincoln yupo wapi Mzuri mie nimpongeze kwa kuanzisha sred. Hahahaaaahaaaaaaa jaman leooooo

Shoga unamuulizia huyo tu? Wenzie hujawaona walivyoanza kushangilia?
Sijui kwanini hili jukwaa limekua hivi jamani.
Yaani watu wanapata aibu kila siku na hawakomi, ningekua ndio mimi nisingeingia huku siku nzima...
Hahahahaa uwiiiiiii!
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…