Shoga unamuulizia huyo tu? Wenzie hujawaona walivyoanza kushangilia?
Sijui kwanini hili jukwaa limekua hivi jamani.
Yaani watu wanapata aibu kila siku na hawakomi, ningekua ndio mimi nisingeingia huku siku nzima...
Hahahahaa uwiiiiiii!
Nimeona mwanzo wameshangilia na kuwika kama majogoo na kuitana loo mambo yalivyobadilika sasa nani kabaki wametoka ndukiiiiii
Hahahahaaa uwiiii! Sitaki cute b pls pls my dear.Jana nimelala baada ya kumeza headaxe maana nilicheka kwenye ule uzi wa "babe alivyonunuliwa Lamborghini" balaaa.
Sasa leo tena unataka nimeze dawa tena?
Hiyo c acc ya davido insta
Hii sio account ya davido .....ni fake account
Waache kupika nini wakati hapo kacomment,eti mzuri Mie SI hapo amecomment kwenye page yake,lakin utabishiwaa Tu kua ni fake wakati ni davido kawakomesha kina dogstyle
Hahahaaa cheka tuu mamy maana ingekuwa kweli hawa watu wangetuchambaaaa
mtabisha mno safari hiii,hapo ni kakoment kwenye page yake
Hahahahaaa, mimi nikadhani ulivyokaa kimya wewe ni mjanja lakini umerudia yaleyale.
Hebu tuliza kichwa kwanza angalia acc original ya Davido instagram na hiyo kama zinaendana.
mtabisha mno safari hiii,hapo ni kakoment kwenye page yake
Nifanye risechi nani atanilipa kwa muda wangu gani juu ya udaku? Aaaghh leo sio ya kumsimanga Diamond ndio unasema haya na sie tunajua kuleta udaku jamani humu.
Kubalini aibu inatembezwa na wa Tanzania wa Ajegunle, mumus.
Wamezidi vieleele safi kawaambia ukweli
Hahahahaaa tungechambwaje? Leo tungekimbia JF shoga ang, ila walivyojua wamechemsha hawaonekani.
unanifurahishaga sanaaa,unawaumizaje kichwa humu,yaan davido kawakana hhhhhhaaa mamaeeee vidude vimewasimama wanamtamani davido hhhhhhhaaaaaaaa
weweee mrembo mmekanwaaa hiyo akaunti ni yake twendeni tukatafute comment banaa