Shoga unamuulizia huyo tu? Wenzie hujawaona walivyoanza kushangilia?
Sijui kwanini hili jukwaa limekua hivi jamani.
Yaani watu wanapata aibu kila siku na hawakomi, ningekua ndio mimi nisingeingia huku siku nzima...
Hahahahaa uwiiiiiii!
Nimeona mwanzo wameshangilia na kuwika kama majogoo na kuitana loo mambo yalivyobadilika sasa nani kabaki wametoka ndukiiiiii