Giovanna Upunda
Member
- Aug 11, 2024
- 54
- 24
Kwanini tena?Lissu hana akili
Hao wanahisikaje kwenye akaunti ya mtu?Vijana wa Lumumba hao, ndiyo huwa hawana akili. Wanajaribu kufoji vitu lakini kumbukumbu zao ni fupi. Hata hawakumbuki kuwa hii kauli ilitolewa na Mbowe kabla ya uchaguzi.
Hiyo siyo account yake, upo? Ni hawa wajinga wanaotengeza tweets fake na kuzisambaza.Hao wanahisikaje kwenye akaunti ya mtu?
Kuna ushahidi gani kama sio Account yake?Hiyo siyo account yake, upo? Ni hawa wajinga wanaotengeza tweets fake na kuzisambaza.
Hatuja kataa yeye kupumzika.Mwacheni mtu apumzike
Tena sio kidogoHatari sn
Unaweza kwenda kwenye account yake anayoitumia ku-post kila siku uone kama ali-post kitu kama hicho. Ndiyo umeingia kwenye mambo ya mitandao miaka ya karibuni nini?Kuna ushahidi gani kama sio Account yake?
Je hawezi kuposti na kisha akaifuta baada ya kuona inaleta taharuki?Unaweza kwenda kwenye account yake anayoitumia ku-post kila siku uone kama ali-post kitu kama hicho. Ndiyo umeingia kwenye mambo ya mitandao miaka ya karibuni nini?
Kuna ushahidi gani kama sio Account yake?
Posti ya Mnyika na Gazeti la Mwananchi ni Fake?Wafanya propaganda wa CCM, wengi wao hawana akili wala weledi. Wanatengeneza accounts fake wakidhani watu wengi hawana akill kama wao, hivyo watauamini upuuzi walioufanya.
Chawa yeyote hana akili.
Ni wajinga sanaVijana wa Lumumba hao, ndiyo huwa hawana akili. Wanajaribu kufoji vitu lakini kumbukumbu zao ni fupi. Hata hawakumbuki kuwa hii kauli ilitolewa na Mbowe kabla ya uchaguzi.
Huyo mwenyekiti wenu ndiyo taahira kabisaLissu hana akili
Kwani hawezi kuifuta na baadae akakana kama hajaiandika yeye?Mhusika amesema kuwa hiyo siyo account yake, wewe una ushahidi gani wa kuthibitisha kuwa ni account yake? Au nawe upo kwenye hilo kundi la punguani la kutengeneza accounts fake za kuwalisha watu maneno?