Kanusho la John Mrema wa Chadema bado limeacha maswali mengi kwa wananchi

Kanusho la John Mrema wa Chadema bado limeacha maswali mengi kwa wananchi

Siasa za sasa zimekuwa na mtindo tofauti hasa katika kufikisha ujumbe uliokusudiwa kwa Jamii na baadae kukanushwa kwa lengo la kuwaaminisha wafuatiliaji wa mambo kuwa kilichoandikwa na kupostiwa sehemu fulani sio cha kweli.

Swali langu je nini kinakusudiwa baada ya jumbe au posti zinazopostiwa sehemu mbalimbali hasa kwenye mitandao ya kijamii na baadae kukanushwa?

Chini nimekuwekea moja ya ujumbe uliosambaa katika mitandao ya kijamii na baadae kukanushwa.


View attachment 3242938
kiongozi wa chadema Taifa ni kibaka na tapeli wa kisiasa, apuuzwe tu 🐒
 
Back
Top Bottom