Kanyaga haitafika Mbali

Kanyaga haitafika Mbali

Kiukweli tunashindwa kumuelewa huyu kijana na nyimbo zake amekua mtu wa hovyo kutoa nyimbo zisizo na content zenye kuelemisha au kushawishi Jamii kwa namna moja au nyengine in a positive way!

Katika mambo anayofanya au nyimbo anazotoa amefeli kabisa na hawezi kutoa pure bongo fleva.

Nyimbo zake nyingi ni fleva zaki Nigeria.

Ushauri: Anguko lake lipo karibuni namshauri abadilike mapema iwezekanavyo

Bdozen
Wanafiki kama wewe kanyaga
 
Hahahahahaa B dozen..

Hapo mawinguni hamjambo
 
Kiukweli tunashindwa kumuelewa huyu kijana na nyimbo zake amekua mtu wa hovyo kutoa nyimbo zisizo na content zenye kuelemisha au kushawishi Jamii kwa namna moja au nyengine in a positive way!

Katika mambo anayofanya au nyimbo anazotoa amefeli kabisa na hawezi kutoa pure bongo fleva.

Nyimbo zake nyingi ni fleva zaki Nigeria.

Ushauri: Anguko lake lipo karibuni namshauri abadilike mapema iwezekanavyo

Bdozen
pole husda mbaya sana
 
Kwani bongo flavor ni ipi
 
Diamond anafanya kile wananchi wanapenda.

wataznania hawapendi content za kuelimisha.

NB:
Ukitaka kupata mashabiki wengi hapa TZ imba nyimbo za kuchamba.
Inabidi aitafute ule wimbo wa Bwax unaitwa unaringa nini dada ataelewa zaidi
 
Thread kama hii ni kukanyaga tu.

NB: Tangu 2012 tulisikia haya maneno kuwa anguko lake linakaribia, tuendelee kusubiri meli uwanja wa ndege

KANYAGA [emoji817][emoji817][emoji817]
 
Back
Top Bottom