Wanafiki kama wewe kanyagaKiukweli tunashindwa kumuelewa huyu kijana na nyimbo zake amekua mtu wa hovyo kutoa nyimbo zisizo na content zenye kuelemisha au kushawishi Jamii kwa namna moja au nyengine in a positive way!
Katika mambo anayofanya au nyimbo anazotoa amefeli kabisa na hawezi kutoa pure bongo fleva.
Nyimbo zake nyingi ni fleva zaki Nigeria.
Ushauri: Anguko lake lipo karibuni namshauri abadilike mapema iwezekanavyo
Bdozen
Hahahahahaa B dozen..Kiukweli tunashindwa kumuelewa huyu kijana na nyimbo zake amekua mtu wa hovyo kutoa nyimbo zisizo na content zenye kuelemisha au kushawishi Jamii kwa namna moja au nyengine in a positive way!
Katika mambo anayofanya au nyimbo anazotoa amefeli kabisa na hawezi kutoa pure bongo fleva.
Nyimbo zake nyingi ni fleva zaki Nigeria.
Ushauri: Anguko lake lipo karibuni namshauri abadilike mapema iwezekanavyo
Bdozen
Kadi ya timu kibakuli iko wapi tuipige motoNiseme tu ukweli diamond simuelewa ila kwa ii ngoma naomba na mm niunge juhudi
pole husda mbaya sanaKiukweli tunashindwa kumuelewa huyu kijana na nyimbo zake amekua mtu wa hovyo kutoa nyimbo zisizo na content zenye kuelemisha au kushawishi Jamii kwa namna moja au nyengine in a positive way!
Katika mambo anayofanya au nyimbo anazotoa amefeli kabisa na hawezi kutoa pure bongo fleva.
Nyimbo zake nyingi ni fleva zaki Nigeria.
Ushauri: Anguko lake lipo karibuni namshauri abadilike mapema iwezekanavyo
Bdozen
Kwani bongo flavor ni ipiKiukweli tunashindwa kumuelewa huyu kijana na nyimbo zake amekua mtu wa hovyo kutoa nyimbo zisizo na content zenye kuelemisha au kushawishi Jamii kwa namna moja au nyengine in a positive way!
Katika mambo anayofanya au nyimbo anazotoa amefeli kabisa na hawezi kutoa pure bongo fleva.
Nyimbo zake nyingi ni fleva zaki Nigeria.
Ushauri: Anguko lake lipo karibuni namshauri abadilike mapema iwezekanavyo
Bdozen
Inabidi aitafute ule wimbo wa Bwax unaitwa unaringa nini dada ataelewa zaidiDiamond anafanya kile wananchi wanapenda.
wataznania hawapendi content za kuelimisha.
NB:
Ukitaka kupata mashabiki wengi hapa TZ imba nyimbo za kuchamba.