Kanyaga haitafika Mbali

Utasubiri sana anguko. Jua litakuwakiwa sana ukisubiri anguko la wengine. Vijana wavivu ndio mara nyingi mna wivu usio wa maendeleo. UTATESEKA SANA KUSUBIRI ANGUKO,NA HALITATOKEA
Huyo wa kukanyaga tu
 
KwNi laxima atoe yeye si mtoe nyinyi sinazoelimisha
 
Dimondi bana....juzi kati katuambia..tetema..vijana wakatetema
.kidogo vijana inama...haooo wakainama sasa anatuambia kanyaga sasa cjui nani atakanyagwa
 
Mpaka taifa stars wakatetema. Wakaenda afcon.

Sasa tunasubiri kuwakanyaga watani zetu Kenya kesho kutwa.
Dimondi bana....juzi kati katuambia..tetema..vijana wakatetema
.kidogo vijana inama...haooo wakainama sasa anatuambia kanyaga sasa cjui nani atakanyagwa
 
Kama akianguka yeye wewe Utajenga Ghorofa?
 
Nyimbo zake nyingi za hivi karibuni ni za hovyo sana, halafu nyuma yake kuna wapuuzi wengi wanaosifia upuuzi anaoufanya.
 
Mimi nimependa ule mstari wa kanyaga ma X
 
Kama Hujui Pole ila Huwa naomba maisha yake binafisi na maisha ya Watu kwahiyo Yuko vizuri
 
natunawakanyaga kweli alaff watamu hao

Juzi nimemkanyaga x wangu akaniambia nimekuwa fundi kama Messi. Nikamwambia ndio maana yake, siku hizi nacheza mechi za kimataifa, sio Ndondo Cup kama hizi. Nafikiri anajuta kunisifia!
 
Juzi nimemkanyaga x wangu akaniambia nimekuwa fundi kama Messi. Nikamwambia ndio maana yake, siku hizi nacheza mechi za kimataifa, sio Ndondo Cup kama hizi. Nafikiri anajuta kunisifia!
na tuendelee kuwakanyaga hakuna namna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…