Kanyaga haitafika Mbali

HILI ANGUKO TOKA MLIPOANZA KULITABIRI!
nakwambia motto kashaanza shule amepata mpk umonita!
hahahaha teacher snowhite unajua watu wanaofanya kazi sana na kujituma huchukiwa bila sababu na ndicho kinacho mkumba Diamond .....shida ya hawa watabiri nao hawana imani na utabiri wao..........
 
imba ww bas tuone uta fika wapi
mzee ume jawa na kijiba cha Roho plus michuki ya kutosha yaaani
 
Utasubiri sana anguko. Jua litakuwakiwa sana ukisubiri anguko la wengine. Vijana wavivu ndio mara nyingi mna wivu usio wa maendeleo. UTATESEKA SANA KUSUBIRI ANGUKO,NA HALITATOKEA
Wavivu wote kanyagaaa
 
Libya Kanyaga..Oyaa kanyagaa..//Asa timba timba timba timba(Tiimbaaa)Wanangu timbaa.//kwa guu la kulia timbaaa..Na guu la kushoto timbaa..//
 
KANYAGA.. kudadadeki.. KANYAGA[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]




Nyie ndo wachawi wa kukanyaga URAJIJUUUUUUUUUU
 

wimbo ni mbaya kiukweli
 
Diamond hata akianguka sa hv sawa tu, jamaa kakitendea haki kipaji chake, ten yrs upo kwenye peak sio haba, na hawez kupatia kila kitu lazma kuna mahali alikosea au anakosea au atakosea, ni binadamu pia, hata akianguka leo hata kuja tokea mwanamziki from bongo mwenye ushawishi tz na nje ya tz kama mond, labda after 100 yrs ambapo sisi sote tutakuwa maiti
 
ungeishia hapa kwenye hata akianguka ni poa maana ameitendea haki nafasi yake vilivyo.

ila unaposema hatatokea mwingine,hapa unaingiza mahaba mkuu,huna tofauti na wapuuzi wanaosema ataendelea kuwa juu milele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…