Kanye West aanzisha Biblia yake, ajiita Mungu

ukisoma MWANZO 1:1 imeandikwa " In the beginning Kanye West created the heaven and the earth"
daa kufuru kwa kweli
 
Huyu mbwiga muziki umeshamshinda siku nyingi na tangu amuoe yule jamvi la wageni Kim K ndo kazidi kupinda!
 
Kama mnaamini kwamba shetani yupo, mbona mnachosha akili zenu jamani? Hiyo ni kazi ya shetani naye ana wafuasi wake, tena wanyenyekevu kweli kweli. Na kazi yake kubwa ni kuharibu Ukuu wa Mungu na kujifananisha na Mungu ndicho alichofanya kanye west, hivyo hakuna cha kushangaa hapo.
 

Huelewi biblia wewe, unatapatapa tu
 
mpaka shetani mwenywe anaogopa kuona mtu ANAEJISAIDIA MAGHARIBI Kujiita Mungu
 
Wengine huwa wana mental problems,halafu hawajaonana na Dk bado,hata msijiumize vichwa.
 
Cheza na kila kitu ila si neno la MUNGU,siku za kuishi ktk dunia hiii Huyo kanye west zimekwisha
 
Afanye hvyo na kwenye kuruwani halafu tuone kitachotokea.

Fastal anabadilishwa jina na kuwa marehem...ujinga ujinga ss tu...waislam wenzetu hawatak mchezo na din yao....lakin twende mbele turud nyuma..mbona ss yy pekee alianzisha bible yake wapo wengi na makanisa yao
 
Kwanini hicho kitabu kiitwe biblia je hamjui biblia inaitwa hivyo kwa ajili ya maandiko yake kama maandiko hayo hayafanani na ya kwenye biblia hakuna sababu ya kuikiita biblia
 
Kama kwel mnampenda mungu basi mkamateni keny na afungwe kama kweli mnampenda mungu ila mnakazi ya kupambana na ugaidi mungu anazalilisha mme ridhika mashetan
 
Kama kwel mnampenda mungu basi mkamateni keny na afungwe kama kweli mnampenda mungu ila mnakazi ya kupambana na ugaidi mungu anazalilisha mme ridhika mashetan

Kwani huyo mungu kashindwa nini kumzuia kanye west asifanye huo mpango kama hakupenda-..mungu dhaifu sana huyu mpaka atetewe na viumbe wake,.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…