Kanye West aanzisha Biblia yake, ajiita Mungu

Kanye West aanzisha Biblia yake, ajiita Mungu

I would say stupidity is being bothered a Stupid who's just being his stupid-self, Boss.

Best way to deal with such, is to show them, though you may not be too big to notice, you surely is too damn big to pay them any mind.

U said t all.
 
Huu msemo wake anapendaga kusema I SOLD MY SOUL TO THE DEVIL!!! Unanisisimuaga sana...kiukweli anahitaji kuombewa rehema kwa hapo alipofikia...

Kwa hapo alipofikia maombi hayatasaidia,
 
aaa-kanye-horz.jpg


Kanye West Hujulikana sana kwa maringo yake,lakini kwa kweli Kanye West asingekufuru na kujitambulisha kama mungu katika biblia hiyo.

Kitabu hicho kitukufu kimebadilishwa na kuwa Biblia ya sasa kwa jina ''Yeezus'' na amini usiamini kila neno la Mungu katika kitabu hicho limeondolewa na badala yake msanii huyo wa muziki wa kufoka foka ameweka jina lake.

Kulingana na gazeti la The Independence nchini Uingereza,kitabu hicho kinasema kuwa katika kizazi hiki ,Kanye West ndio mkubwa na vilevile kiongozi wa kidini


Kitabu hicho kinaongezea kwamba ''katika utangulizi wetu tunamsherehekea Kanye West na vile alivyotufanyia katika maisha yetu''

Kanye West na mkewe Kim Kardashian Ijapokuwa Kanye hajatoa tamko lolote kuhusu wadhfa huo aliojipatia,amekuwa akijifananisha na Mungu hapo mbeleni.

''Mungu alinichagua mie,alinitengezea njia.Mimi ni chombo cha mungu'',alisema mwaka 2009.

''Lakini kinachoniudhi maishani mwangu ni kwamba sitawahi kujiona nikicheza muziki moja kwa moja''.,aliongezea.

Wasanii wengine waliofananishwa na Yeezy ni Marilyn Monroe na Michael Jackson. chanzo.BBC

Pesa ukiwa nazo nyingi haya ndio Matokeo ya kukufuru Kanye West moto wa jahanamu utakuhusu kesho.



Chanzo: BBC Swahili
 
Ameona picha zote Bikira Maria' Jesus na wafuasi wake huwa wanaonyeshwa ni wazungu au ngozi nyeupe ameamua yeye kuja as 'Black Yezus'
 
Anatafuta "DRAMA" tu za ajabu.Tumempuuza....
 
Haya yote yalishatabiriw/kusemwa katika vitab vitakatifu vya Mungu.
 
mungu kashindwa kuzuia haya yasitokeeee,....?..asked out of curiousity..
 
mungu kashindwa kuzuia haya yasitokeeee,....?..asked out of curiousity..

Ndio maana huwa nawaambia kila siku, huyu somebody on the sky there is just a scam. Sasa sijui wanambishia nini Kanye, mbona mwenyezi mungu wapo wengi tu, mwingine yupo Kenya, au hawajahi kusikia.
 
msishangae miaka 500 ijayo kikatumika kwa kizazi hicho. Hiki si kwa ajili yetu maana sisi tupu. Kazi kwa kizazi hicho lengwa
 
Back
Top Bottom