Kanye West aanzisha Biblia yake, ajiita Mungu

Kanye West.. is an illuminati, ile tour yake ya Yeezus alio fanya impersonation of Jesus, wasn't ok at all, alipoteza mashabiki.

Kwenye wimbo wake wa Runaway he said " we love Jesus, but we learn alot from Satan"..

This black guy is a devil worshiper, ila muhukumu ni Mungu pekee.

Yeye ndio atajua ata deal nae vipi.
 
Yale yale ya national church of beyonce 😞
 
Kuna tofauti kubwa sana tena sana kati ya "god" na "God" akisema yeye ni "god " mimi sina shida nae ila kama ni "God " ajiangalie atakuja kupigwa pigo a "kanye magharibi "
 
So truee
 
Mtu hawez chonga hata kinyago au kale ka mtu ka kufinyanga na tope anajiita Mungu? Kafanya jambo gan haswa huyu Baali?
 
Mnashamgaa kwani hamshangai aliyeigiza maisha ya yesu?

Na mnaitumia picha bila haya na kumsema yesu.

Kumbukeni wote "walipomjua Mungu hawakumpa utukufu bali walibadili na kumpa mwanadamu,hayawani, ndege na mioyo yao yenye ujinga ikatiwa Giza ili wauamini upuuzi" na Mungu amewaacha.
 
Hiyo nayo ilikuwaje??
Hawa watu mweeeeeh!!!

Google search hilo kanisa utapata info zake zote, wanamuabudu beyonce, liko atlanta. Bible wanaita beyble... Wanasema why waabudu mungu wasiemuona wkt kuna mungu wanaemuona na kumshuhudia duniani... Beyonce...
Watu wanamchezea mungu yani Wanaudhiiiii mnooo
 
Mnashamgaa kwani hamshangai aliyeigiza maisha ya yesu?

Na mnaitumia picha bila haya na kumsema yesu.

Kumbukeni wote "walipomjua Mungu hawakumpa utukufu bali walibadili na kumpa mwanadamu,hayawani, ndege na mioyo yao yenye ujinga ikatiwa Giza ili wauamini upuuzi" na Mungu amewaacha.

Ushasema ""kaigiza"" sasa tatizo liko wapi?
Hata mtoto wa primary anajua yule si yesu ila ana play role kama yesu kufikisha ujumbe ulioandikwa ktk biblia, kuna watu wavivu kusoma ila wakiangalia ""maigizo"" wanakuwa tempted kurudi kusoma yaliyoandikwa zaidi coz thats only a part played of a lot he did alipokuwa duniani.
Hivyo acha kujitoa fahamu unless unahitaji definition ya ""KUIGIZA""

Or else nikuulize sura ya mtume unaijua ikoje hapo ulipo? Ushawahi kumwona mtume kwa macho yako ukahakiki ndie sahihi ktk vitabu vyenu?
Kama ndio una haki ya kusema tunaangalia picha ya yesu bila kumjua.
 
Sina mtume nina Mungu aliyehai aliyeumba mbingu na nchi kwishinia
 
Ukitaka kuona wabongo wanatoka povu, basi we taja habari za dini tu. Wanavyoshupalia haya mambo utafikiri hizi biblia na Quran zimeandikwa Bariadi. Kuna mambo yanayowahusu kwenye nchi yao wenyewe hawana habari wala hawajui kinachoendelea, wamekaa kutwa kuongelea dini zilizoletwa na meli. Kweli watu weupe wametupatia patamu sana.
 
Back
Top Bottom