Kanye West alimshobokea Diamond

Kanye West alimshobokea Diamond

e64db81913145dbca70c50aa68d7ce5b.jpg
ndo huyu au.?
Mbona picha haionyeshi alicho kisema
 
Labda dogo alivaa copy from China.ambayo USA original yake ni dola 10.000.So Kanye akaingizwa chaka.Kuna dogo alikuwa anatumiwa majeenzi toka Shenzhen ,Wamarekani wakawa wanajua dogo anayatungua kwenye mashop ya USA wakawa wanamwogopa kumbe!!!
 
Labda dogo alivaa copy from China.ambayo USA original yake ni dola 10.000.So Kanye akaingizwa chaka.Kuna dogo alikuwa anatumiwa majeenzi toka Shenzhen ,Wamarekani wakawa wanajua dogo anayatungua kwenye mashop ya USA wakawa wanamwogopa kumbe!!!
Angevaa copy toka china kanye west angejua n asingemshobokea kuna jamaa ashawahi mpelekea kanye west viatu vyake red October yeezy am signie kanye west akagoma akamuambia n feki
 
Sasa basi ninajua kuna baadhi watu wengi iambao mlikuwa na maswali mengi yasiyokuwa na majibu juu ya ile picha ya Diamond Platnumz na kanye west, .kichotokea siku ambayo Diamond alipokutana na rapper Kanye ni kwamba Diamond alikua kwenye benchi kakaa uwanja wa ndege, Kanye West alimsogelea na aliomba kupiga picha viatu vyake diamond, D hakuwa amegundua mwanzoni kama ni Kanye, alipoangalia juu baadae ndio akamgundua.
Baadae ndio Diamond akamuomba wakapiga picha na mawasiliano yakabadilishwa pale… contact hizo zishawafikia mamenja wa D ndio wanajua kitu gani watafanya kama ilivyokuwa kwa Ne-yo ambae hivu karibuni video yake na D inatoka
 
Angevaa copy toka china kanye west angejua n asingemshobokea kuna jamaa ashawahi mpelekea kanye west viatu vyake red October yeezy am signie kanye west akagoma akamuambia n feki


Ni fake viatu fake ivyooo
 
laiti diamond angekua mkenya tusingekaa kwa amani mana wenzetu kwa misifa si mchezo
 
ata ile kolabo ya Nana ilibidi afanye na TI ,
 
Tuliambiwa hizo ndula za jamaa ni feki na kampuni imezitambua hivyo Kanye aliingia mkenge?
Et fake kwaiyo desingner hajui viatu vyake o.g n feki achana n story za kwny blog leta statement ya iyo kampuni
 
Unamsemea kanye west yupi??? Maana hapa mtaani kuna jamaa tunamwita kanye west...nadhan utakua unasemea huyo!!!
[emoji23] [emoji23] mkuu inaelekea wewe mwanachama mtiifu wa UKAWA sio kwa upinzani huu
 
NAHISI NIMEMUELEWA VIBAYA MLETA MADA...

"KWAMBA KANYE WEST ALIMUOMBA DIAMOND APIGE PICHA VIATU ALIVYOVAA DIAMOND AU DIAMOND ALIMUOMBA KANYE WEST APIGE PICHA VIATU ALIVYOKUWA KAVAA KANYE WEST?"...KAMA DIAMOND ALIMUOMBA KANYE WEST HAPO SAWA...STORY YAKO IKO SAWA...

ILA KAMA KANYE ALIMUOMBA DIAMOND NAOMBA NIKUPINGE WEWE NA HUYO DIAMOND ALIYELETA HII STORY....SIO KWA KANYE WEST NAYEMJUA MIE...SIO KWA KANYE WEST YULE ALIYEMUOA KIM KARDASHIAN, SIO KWA KANYE WEST YULE PRODUCER NA MWANAMZIKI MKALI MAREKANI AMBAYE COMPANY YAKE NI KINA JIGGA BEYONCE NA WAKALI KIBAO TUU.

PIA NINGEOMBA DIAMOND ATUMIE BUSARA SASA MAANA TUNAAMINI MTU UKIPEWA MTOTO WA KIKE WA FAMILIA FULANI UISHI NAYE NA UWE UNALALA NAYE BILA NGUO WAKATI JAMII YOTE ILIYOKUZUNGUKA INAJUWA UNATAKIWA USIWE MUONGOMUONGO KIASI KILA MTU ANAELEWA KUWA UNADANGANYA.

KANYE AKISIKIA UONGO HUU ANAWEZA AUZE NYUMBA MADALE ARUDI TANDALE.....ATASHTAKIWA NA KULIPA FIDIA KWA KUMCHAFULIA JINA LAKE.....WENZETU HAWANAGA HIZI ZETU ZA KISWAHILI ZA KUOMBANA MSAMAHA KISHA YANAKWISHA.

DOGO ANATAKIWA AJUWE KICK ZA KINDEZI MWISHO AFRICA...UKITOKA AFRICA UNAWEKA KILA KITU CLEAR NA UKWELI NA UWAZI TUU.

NOTHING PERSONAL NI KUELIMISHANA TUU.....
 
Back
Top Bottom