tracy martins
JF-Expert Member
- Aug 5, 2014
- 3,535
- 1,482
hii style ya kiatu ameibuni kanye westMkuu Kanye apige picha Yeezy ya nn??..Jamaa anapenda fashion,Uenda alipenda style ya kiatu alichokuwa amevaa Mondi
Mbona picha haionyeshi alicho kisemando huyu au.?
Naelewa..Ndo mana nikauliza Jamaa apige picha ya kiatu alichokibuni mwenyewe ili iweje..hii style ya kiatu ameibuni kanye west
Angevaa copy toka china kanye west angejua n asingemshobokea kuna jamaa ashawahi mpelekea kanye west viatu vyake red October yeezy am signie kanye west akagoma akamuambia n fekiLabda dogo alivaa copy from China.ambayo USA original yake ni dola 10.000.So Kanye akaingizwa chaka.Kuna dogo alikuwa anatumiwa majeenzi toka Shenzhen ,Wamarekani wakawa wanajua dogo anayatungua kwenye mashop ya USA wakawa wanamwogopa kumbe!!!
just part of the marketing of products so as to influence others to buyNaelewa..Ndo mana nikauliza Jamaa apige picha ya kiatu alichokibuni mwenyewe ili iweje..
Angevaa copy toka china kanye west angejua n asingemshobokea kuna jamaa ashawahi mpelekea kanye west viatu vyake red October yeezy am signie kanye west akagoma akamuambia n feki
Tuliambiwa hizo ndula za jamaa ni feki na kampuni imezitambua hivyo Kanye aliingia mkenge?Haaaah itakuwa alivaa yeezy boost 350 so kanye akamuelewa
[emoji23] [emoji23] mkuu inaelekea wewe mwanachama mtiifu wa UKAWA sio kwa upinzani huuUnamsemea kanye west yupi??? Maana hapa mtaani kuna jamaa tunamwita kanye west...nadhan utakua unasemea huyo!!!