Kanye West alimshobokea Diamond

Basi watu wenyewe roho mbaya huu uzi utawatoa povu

SIO ROHO MBAYA...HAIINGII AKILIN KANYE ALIKUWA AIRPORT ANAMSUBIRIA DIAMOND AINUKE ILI APIGE NAYE PICHA....HUYU KANYE NAONA MNAMCHUKULIA KAMA DOGO JANJA AU MR BLUE HAPA KWETU?....HUYU ANALINDWA NA ANA RATIBA MAALUM SIO WA KUZAGAAA KUSUBIRIA WATU WA KUPIGA NAYE SELFIE....

ALIKUJA BEYONCE NA JIGGA DAR WAKAISHIA KUFUNGUA KISIMA CHA MAJI..NANI ALIPIGA NAO PICHA? LEO UENDE L.A UMKUTE MR. KANYE WEST AND HIS WIFE MRS KIM KARDASHIAN WEST...HALAFU AJE AKUOMBE KUPIGA SELFIE NA WEWE MMANDA VAKU...HEBU TUWE WAKWELI KATIKA HILI NI KAMA MBINGU NA ARDHI...MBALI SANA KUWA KWELI.

UKWELI NI KUWA DOGO ALIVYOJUA LEO KANYE ANASAFIRI AKAMVIZIA AIRPORT KATUPIA YEEZY ZAKE AKAOMBA SELFIE NA KUJITAMBULISHA KUWA YEYE NI STAR WA KIUNO-NGOLOLO TOKA TANZANIA NA AFRICA AKAMUACHIA MANAGER WAKE SAMPLE ZA MUSIC WAKE AONE ANAWEZA KUFANYA NAYE KAZI GANI..THEN MR. KANYE WEST AKA=BOARD IN NA KUSEPA ZAKE.
 
Kwahiyo ulikuwepo airport??
 
Kwahiyo ulikuwepo airport??
TOFAUTI YANGU NA WEWE NI KUWA
MIE NATUMIA AKILI KUFIKIRI
WEWE UNATUMIA MOYO KUFIKIRI....KAZI YA MOYO KUSUKUMA DAMU. FIKIRI KWA KUTUMIA AKILI USIENDESHWE NA MAHABA NIUWE.
PIA TUMIA SIMU YAKO KUM-GUGO HUYO KANYE WEST NDIO UTAJUA NAONGELEA NINI NA UTAWEKA MAHABA NIUWE YAKO PEMBENI.

MBINGU NA ARDHI ZIKO MBALI SANA...ELEWA TOFAUTI HIYO...NA HAPA JF NI JUKWAA LA WATU WANAOTUMIA AKILI KUBWA SANA KUFIKIRI NA KUTAFAKARI...USITARAJIE KILA UPUUZI UNAOLETWA HAPA UTAKUBALIKA KIRAHISI.
 
Mahaba nnayo sana ila sio kwa huyo, hivi kuna mtu ambae hamjui West???
 

Mkuu acha bhana,
Mbona hao watu ni wa kawaida tu na wanapenda kujichanganya na watu sema tu mazingira wakati mwingine hayaruhusu,

Juzi hapa Kanye alikua anatoka Gym anatembea kuna mtu akamuomba ampe lift akakubali kumbe ni Paparazi, akaanza kumuhoji.
Sasa kwa Kanye huyo unayemzungumzia angekubali kupewa lift??

Mambo hayo yanawezekana so wala usishangae.
 
Ayah yako umemsikia Kanye West au? Kwan huyo Kanye we unamchukuliaje labda? Kitu usichoelewa ni kuwa uenda ata huyo Kanye alikuwa hamjui Diamond ila Kanye alichoomba ni kupiga picha kiatu basi, Diamond baada ya kumuona alipoinuka Kanye ndipo alipomtambua na kuanza maongezi na Diamond ndie alieomba kupiga picha hiyo ambayo inazagaa mitandao ikionyesha sura ila Kanye akitaka kiatu tu… sion cha ajabu ila watanzania tumzoea kujishusha
 
UKWELI NI KUWA DOGO ALIVYOJUA LEO KANYE ANASAFIRI AKAMVIZIA AIRPORT KATUPIA YEEZY ZAKE AKAOMBA SELFIE...
kwa kauli hii tu unaonekana HUKUPENDA ile picha na ulitamani iwe ya UONGO.Ukiwa star vyote vywezekana hata ulilodhani kuwa haliwezekani.Bahati mbaya kwako ndo imewezekana.
 
Kanye angekuwa kapiga picha Nyingi sana basi hahahaaaaa au kiatu kava a diamond peke yake worldwide?... Diamond muongo sana Mara Chanel gan sijui haipig nyimbo bila yy kuulizwa Mara kanye kaomba nn sijui mhhhhhhh baba tiffah tunaikwepa hiyooooo
 
A haha haha haha haha sasa eti star wa kiuno- ngololo
 
Yaani huyu jamaa ni mpumbavu mpaka basi.Yaani simu ashike yeye apige picha halaf awe Kanye west ndo kashoboka! kwanza level ya Kanye west na yeye wapi na wapi!
 
Labda dogo alivaa copy from China.ambayo USA original yake ni dola 10.000.So Kanye akaingizwa chaka.Kuna dogo alikuwa anatumiwa majeenzi toka Shenzhen ,Wamarekani wakawa wanajua dogo anayatungua kwenye mashop ya USA wakawa wanamwogopa kumbe!!!
Shenzhen ....TECNO wanatoa na jeans??
 
Jaman naomba tu niongee yangu ambayo yametokana na stori ya majuzi kati ya dai kumit na kanye west airport sjui...dah eti " nlikua airport jamaa akaja akomba kupiga picha viatu vyangu nkamwambia hayo baadae tuongee mengine tukapiga na selfie " dah haha jaman mbona kama fiksi za mchana kweupe?? Kanye west one of the richest rappers and best designer ...aombe kupiga picha viatu vya mtu?? Kanye nnaemjua mm anapoulizwa maswal na paparazzi anarusha ngumi..na ambae amemnunulia pete Kim thaman yake maybe ni bajet za wizara 2 hapa kwetu..na selfie yenyewe ukiiona kanye ni kama alikua ameshangaa flan hivi na ni picha moja tu ...dah jaman wakat mwingine tusidanganyane buanaah!!
Polen mashabik na wapenz wa moyon wa dai kama ntakua nmewakera. But ndo ukweli hio fiksi tu!!! Haha lol!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…