Kanye West alimshobokea Diamond

Hahahaha....dah...okey....KANYE WEST IS THE BEST AND ONE OF THE RICHEST RAPPERS IN THE WORLD...
DIAMOND IS ONE OF THE BEST AND RICH AFRO POP SINGER IN TANZAÑIA
asante kwa kumjibia...
nilitaka kujua yeye yupo katika KUNDI gani...
JIBU lake la kukurupuka limejieleza kila kitu..!
 
View attachment 332170kiatu chenyewe Ndio hicho?
Eti. Mkuu!!!..Mimi sina shida na kijana kuipeperusha bendera yetu vizuri akiwa huko kwa wenzetu...na ni mchapakaz ...,but pls no fiksi jaman...au kanye west hajui kiswahili ndo mana ameamua kuleta hizi fiksi ...spati picha kanye angekua anajua kiswahili dahh watu wangechanwaje kwenye verse zake ....basi kama ni kweli apost kwa kingereza jamaa asome halaf tuone...fiksi sio nzuri
 
MAANDISHI yenye herufi kubwa...
kwa uandishi huu...
JICHUNGUZE mkuu..!
Mbona unatoka kwenye mada..hamna point ndo mana ni mipasho sasa...
Kama una point tuendelee but kama ni mipasho am not interested...mtafute khadijakopa.
 
Mbona unatoka kwenye mada..hamna point ndo mana ni mipasho sasa...
Kama una point tuendelee but kama ni mipasho am not interested...mtafute khadijakopa.
sawa...!
Diamond Platnumz ni mnafiki...
KANYE WEST,RAPPER tajiri duniani haiwezi tokea akaomba kupiga picha MAVIATU mabovu kama yale...
Diamond Platnumz asitufanye waTANZANIA wajinga...
sijui sasa hivi mwenyewe anajifanya yuko ULAYA,ulaya kwenyewe SWEDEN je angekwenda HOLLYWOOD ingekuaje..!?
na muda sio mrefu atafulia na kurudi TANDALE..
teh..!
 
namaanisha mtoto wa KIUME hauwezi kuanzisha THREAD kwaajili ya kulidiscuss jambo kama hili...
anyway tukiachana na huo ustar wa KANYE WEST unaokubabaisha...
naomba nikuulize swali dogo tu,KANYE WEST ni nani..!?
Mwwnyekiti Wa mtaa MABATINI TANGA.
 
Nipe 5 mwanangu

Nipe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…