Kanye West alimshobokea Diamond

Kanye West alimshobokea Diamond

Hahahaha....dah...okey....KANYE WEST IS THE BEST AND ONE OF THE RICHEST RAPPERS IN THE WORLD...
DIAMOND IS ONE OF THE BEST AND RICH AFRO POP SINGER IN TANZAÑIA
asante kwa kumjibia...
nilitaka kujua yeye yupo katika KUNDI gani...
JIBU lake la kukurupuka limejieleza kila kitu..!
 
View attachment 332170kiatu chenyewe Ndio hicho?
Eti. Mkuu!!!..Mimi sina shida na kijana kuipeperusha bendera yetu vizuri akiwa huko kwa wenzetu...na ni mchapakaz ...,but pls no fiksi jaman...au kanye west hajui kiswahili ndo mana ameamua kuleta hizi fiksi ...spati picha kanye angekua anajua kiswahili dahh watu wangechanwaje kwenye verse zake ....basi kama ni kweli apost kwa kingereza jamaa asome halaf tuone...fiksi sio nzuri
 
Mbona unatoka kwenye mada..hamna point ndo mana ni mipasho sasa...
Kama una point tuendelee but kama ni mipasho am not interested...mtafute khadijakopa.
sawa...!
Diamond Platnumz ni mnafiki...
KANYE WEST,RAPPER tajiri duniani haiwezi tokea akaomba kupiga picha MAVIATU mabovu kama yale...
Diamond Platnumz asitufanye waTANZANIA wajinga...
sijui sasa hivi mwenyewe anajifanya yuko ULAYA,ulaya kwenyewe SWEDEN je angekwenda HOLLYWOOD ingekuaje..!?
na muda sio mrefu atafulia na kurudi TANDALE..
teh..!
 
namaanisha mtoto wa KIUME hauwezi kuanzisha THREAD kwaajili ya kulidiscuss jambo kama hili...
anyway tukiachana na huo ustar wa KANYE WEST unaokubabaisha...
naomba nikuulize swali dogo tu,KANYE WEST ni nani..!?
Mwwnyekiti Wa mtaa MABATINI TANGA.
 
Nipe 5 mwanangu

NAHISI NIMEMUELEWA VIBAYA MLETA MADA...

"KWAMBA KANYE WEST ALIMUOMBA DIAMOND APIGE PICHA VIATU ALIVYOVAA DIAMOND AU DIAMOND ALIMUOMBA KANYE WEST APIGE PICHA VIATU ALIVYOKUWA KAVAA KANYE WEST?"...KAMA DIAMOND ALIMUOMBA KANYE WEST HAPO SAWA...STORY YAKO IKO SAWA...

ILA KAMA KANYE ALIMUOMBA DIAMOND NAOMBA NIKUPINGE WEWE NA HUYO DIAMOND ALIYELETA HII STORY....SIO KWA KANYE WEST NAYEMJUA MIE...SIO KWA KANYE WEST YULE ALIYEMUOA KIM KARDASHIAN, SIO KWA KANYE WEST YULE PRODUCER NA MWANAMZIKI MKALI MAREKANI AMBAYE COMPANY YAKE NI KINA JIGGA BEYONCE NA WAKALI KIBAO TUU.

PIA NINGEOMBA DIAMOND ATUMIE BUSARA SASA MAANA TUNAAMINI MTU UKIPEWA MTOTO WA KIKE WA FAMILIA FULANI UISHI NAYE NA UWE UNALALA NAYE BILA NGUO WAKATI JAMII YOTE ILIYOKUZUNGUKA INAJUWA UNATAKIWA USIWE MUONGOMUONGO KIASI KILA MTU ANAELEWA KUWA UNADANGANYA.

KANYE AKISIKIA UONGO HUU ANAWEZA AUZE NYUMBA MADALE ARUDI TANDALE.....ATASHTAKIWA NA KULIPA FIDIA KWA KUMCHAFULIA JINA LAKE.....WENZETU HAWANAGA HIZI ZETU ZA KISWAHILI ZA KUOMBANA MSAMAHA KISHA YANAKWISHA.

DOGO ANATAKIWA AJUWE KICK ZA KINDEZI MWISHO AFRICA...UKITOKA AFRICA UNAWEKA KILA KITU CLEAR NA UKWELI NA UWAZI TUU.

NOTHING PERSONAL NI KUELIMISHANA TUU.....
Nipe
 
Back
Top Bottom