Kanye West amchana live Jay Z, Beyonce na kasema yuko na Trump!

Kanye West amchana live Jay Z, Beyonce na kasema yuko na Trump!

Kwani Jay Z NA Beyonce si Ni Rafiki zake.Wamemkosea nn au wivuuuu
 
Kanye West ana jisafishia nyota anataka kuja kuwa president na yeye wa America na Republic ndo chama chake.
Na kwa ufupi tu Republic ndo chama chenye watu wa asili ya kiafrika wengi na ndicho kiliruhusu wa hamiaji kwa wingi kuliko Democrats.
 
What a shame to watch one of the greatest artists on self destruction. From ranting, to snitching on your "friends". Hov's gon' keep his grill tight, as he often does, while wall-building Kanye out.

Are we ever gonna see this Kanye, again?
 
kanye anatakiwa ajue tu kwamba jay z si mtu wa mchezo mchezo
 
Anaongea hivyo baada ya uchaguzi, huo ni uchizi. Halafu anajipoteza kuforce ligi na kina Jayz. Afanye bifu na kina Lil Wayne ndio level zake
 
Kanye is always a big mouth , the old kanye was cool as F , the new kanye in kardashian family jus sux the D
Hizi lugha sijui kwanini zilikuja huku
What a shame to watch one of the greatest artists on self destruction. From ranting, to snitching on your "friends". Hov's gon' keep his grill tight, as he often does, while wall-building Kanye out.

Are we ever gonna see this Kanye, again?
 
I think most of top musicians especially those linked in somehow with illuminati are not thinking straight, crazy people take a look at kanye, Chris brown, Nicki minaj etc. Crazy people indeed
Tafuta videos hawa watu wkiongea wakiwa sober utaniambia, hii kitu nimeiona hata juzi kwa diamond platnumz akiwa anaongea utasema tahira flani hivi
 
Kanye, you improper,
unproportioned big head, little mouth, to close together beady
eyed, wife porno making, lyrical sucking rapping, insurance scammer. Lol. J/k kanye. No, not really. Lmao at your "music". You hit big with "gold digger". You must be a prophet, you did get kim. Haha.
 
Jambazi umenifanya nicheke sana
 
Back
Top Bottom