The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Poa mkuu,Thanks.2019 mkuu
Nipo na imagine jinsi mzee atakavyotembea!!
Mfahamu aliyekiri kuhusika na kifo cha Bob Marley - JamiiForums
Ukisoma huu Uzi utajua hawa Jamaa wasivyopenda watu weusi tusonge mbele, very interesting
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Nipo na imagine jinsi mzee atakavyotembea!!
Vina cancer hivyo viatu, naamini serikali itavichoma moto na kusahau kabisa
Rapa kanye West na mkewe Kim West wako Uganda ambapo siku ya leo wamefanya mazungumzo na rais Yoweri Museven. Pamoja na mambo mengine Kanye West ametoa pair 2 za viatu vyake vya Yeezy vyenye saini yake ambapo pair moja amempa rais Museven na nyingine ameituma kwa rais Magufuli,kupitia ubalozi wetu nchini Uganda.
Kanye West amemuomba rais Museven na balozi wetu wamfikishie salamu zake kwa rais Magufuli na kudai kutokana na ufinyu wa muda alionao hawezi kufika Tanzania lakini akitoa ahadi ya kupanda mlima Kilimanjaro mpaka kileleni mwaka 2019.
Wakuu mimi naona hii ni kama dalili ya Kanye West anajaribu kuwashawishi Adidas kuleta baadhi ya viwanda vyake Afrika Mashariki,hasa hasa Uganda na Tanzania?
BOBMARY kweliKama utaona uvivu kusoma huo uzi, pitia kidogo hata hii screenshot.
View attachment 899075
Vina cancer hivyo viatu, naamini serikali itavichoma moto na kusahau kabisa
Atakuwa kama katuni
JAMAA NI MNYAMWEZI SANAAtakuwa kama katuni
Juzi tu alikuwa na track sut na raba za karumee alionekana mdunchuu kama piriton...atleast sut bullet proof vest zjnamfanya awe mkubwaJAMAA NI MNYAMWEZI SANA
Ukizingatia Kanye a.k.a YE anataka kifutwe kifungu cha kinachokataza utumwa kilichowekwa ktk katiba ya marekani ktk mabadiliko ya 13 ya katiba, na alisema utumwa lilikuwa chahuo lao watu weusi naweza kuamini Kanye anaweza kutumika na wazungu kumhujumu Magufuli.
Museveni anatumiwa tu bila kujijua kama hii stori ni ya kweli.
Hata .mm hilo linanitia shaka katumwa na trump.Viatuuuu ! Isje zikawa n mbinu za CIA ili magu yamkute kama Yale yaliyompataga BOB MARLEY,
MARK MY WORDS, hii dunia imeshachacha.