Kanye West amtumia Magufuli viatu vya Yeezy 500 vyenye saini yake,kupanda Kilimanjaro 2019

Kanye West amtumia Magufuli viatu vya Yeezy 500 vyenye saini yake,kupanda Kilimanjaro 2019

44054398_10156918005519078_3106381229075726336_n.jpg

Rapa kanye West na mkewe Kim West wako Uganda ambapo siku ya leo wamefanya mazungumzo na rais Yoweri Museven. Pamoja na mambo mengine Kanye West ametoa pair 2 za viatu vyake vya Yeezy vyenye saini yake ambapo pair moja amempa rais Museven na nyingine ameituma kwa rais Magufuli,kupitia ubalozi wetu nchini Uganda.
Kanye West amemuomba rais Museven na balozi wetu wamfikishie salamu zake kwa rais Magufuli na kudai kutokana na ufinyu wa muda alionao hawezi kufika Tanzania lakini akitoa ahadi ya kupanda mlima Kilimanjaro mpaka kileleni mwaka 2019.
Wakuu mimi naona hii ni kama dalili ya Kanye West anajaribu kuwashawishi Adidas kuleta baadhi ya viwanda vyake Afrika Mashariki,hasa hasa Uganda na Tanzania?
Vina cancer hivyo viatu, naamini serikali itavichoma moto na kusahau kabisa
 
Hata tanzania visiguse maana kuikosa zawadi hiyo hakutakuwa na impact yoyote, na aende zake huko zawadi za viatu apeleke kwa watoto wake ama wazazi wake siyo kufunga safari mpaka africa unatoa zawadi za viatu hatuna shida navyo, sisi tunataka uwekezaji siyo usharobalo wa kuvaa.
 
Nataka Sizonje avae viatu hivyo...baada ya hapo lazma tuingie kwenye uchaguzi na nchi itakaa sawa sana!
 
nimewaza sana baada ya kusoma comments humu sasa na mimi nimeona huenda hivyo viatu vikiwa ikulu vikanasa mawasiliano muhimu maana naona kama sasa viatu vimekuwa tishio kubwa 😀
 
Aisee hivyo viatu bora vichomwe kabisa,havijatolewa kwa bahati mbaya tu na michezo yao tunaijua vyema tu kuanzia majaribio kwa Castro,maduro na ata kwa Bob Marley.
 
Ukizingatia Kanye a.k.a YE anataka kifutwe kifungu cha kinachokataza utumwa kilichowekwa ktk katiba ya marekani ktk mabadiliko ya 13 ya katiba, na alisema utumwa lilikuwa chahuo lao watu weusi naweza kuamini Kanye anaweza kutumika na wazungu kumhujumu Magufuli.

Museveni anatumiwa tu bila kujijua kama hii stori ni ya kweli.
 
[emoji3] Dah watanzania katika ubora wetu.
Ukizingatia Kanye a.k.a YE anataka kifutwe kifungu cha kinachokataza utumwa kilichowekwa ktk katiba ya marekani ktk mabadiliko ya 13 ya katiba, na alisema utumwa lilikuwa chahuo lao watu weusi naweza kuamini Kanye anaweza kutumika na wazungu kumhujumu Magufuli.

Museveni anatumiwa tu bila kujijua kama hii stori ni ya kweli.
 
Viatuuuu ! Isje zikawa n mbinu za CIA ili magu yamkute kama Yale yaliyompataga BOB MARLEY,
MARK MY WORDS, hii dunia imeshachacha.
Hata .mm hilo linanitia shaka katumwa na trump.
 
Back
Top Bottom