Kanye West amtumia Magufuli viatu vya Yeezy 500 vyenye saini yake,kupanda Kilimanjaro 2019

Viatuuuu ! Isje zikawa n mbinu za CIA ili magu yamkute kama Yale yaliyompataga BOB MARLEY,
MARK MY WORDS, hii dunia imeshachacha.
na mimi nimewaza kama wewe aisee
 
Viatuuuu ! Isje zikawa n mbinu za CIA ili magu yamkute kama Yale yaliyompataga BOB MARLEY,
MARK MY WORDS, hii dunia imeshachacha.
Niliisikia ile story kwamba walimuwekeakitu cha kusababisha cancer Bob kwenye kiatu alichopewa zawadi.

Magu mwenyewe hata viatu vya Yeezy jinsi ya kuvivaa ataanzia wapi?

Labda viwekwe makumbusho tu.
 
Nakumbuka baadhi ya misemo ambayo husemwa semwa sana na hawa viongozi wetu ,baadhi yake ni hii.
Waangalie isije kufanya kazi kwao
1. Ukitaka kula kubali kuliwa pia
2. Vyabule vinagharamaa
 
Wasije wakafanya kama ya Bob Marley kuleta kiatu kina virus wakamsababishia kansa.
 
[emoji3] Dah watanzania katika ubora wetu.
Kanye West calls for abolition of the 13th amendment - which abolished slavery
https://edition.cnn.com/2018/10/02/entertainment/kanye-west-13th-amendment-clarification/index.html
Kanye West says he wants to change 13th Amendment, not scrap it
Soma kifungu chenyewe hapo chini
Kanye West Clarifies 13th Amendment Tweet, Wants to Amend & Not Abolish
The 13th Amendment to the Constitution declared that "Neither slavery nor involuntary servitude, except as a punishment for crime whereof the party shall have been duly convicted, shall exist within the United States, or any place subject to their jurisdiction."
 
Viatuuuu ! Isje zikawa n mbinu za CIA ili magu yamkute kama Yale yaliyompataga BOB MARLEY,
MARK MY WORDS, hii dunia imeshachacha.

Hivyo viatu vitawekwa kwenye makumbusho au sehemu maalum au hatutasikia tena wapi vilipelekwa..

M7 na Magufuli sio kwamba hawawezi kuvivaa hivyo viatu ila hawatavivaa.
 
Sidhani, hii mbinu ni ya zamani sana hata vitaifa vichanga vinaelewa ujasusi wa namna hiyo, lakini tahadhari ni lazima zichukuliwe,

Mimi nina wasiwasi hata alivyovishika tu, maana wao wanapaka madawa kwanza kwenye mikono kwahiyo hata sumu haiwezi kuingia.
Viatuuuu ! Isje zikawa n mbinu za CIA ili magu yamkute kama Yale yaliyompataga BOB MARLEY,
MARK MY WORDS, hii dunia imeshachacha.
 
hongera magu kwa kupokea na kuvaa yeezys, kweli hi ni awamu ya hapa kazi tuu!
 
Viatuuuu ! Isje zikawa n mbinu za CIA ili magu yamkute kama Yale yaliyompataga BOB MARLEY,
MARK MY WORDS, hii dunia imeshachacha.
hata vaa vitakaa makumbusho
 
Viatuuuu ! Isje zikawa n mbinu za CIA ili magu yamkute kama Yale yaliyompataga BOB MARLEY,
MARK MY WORDS, hii dunia imeshachacha.
Nilifikiria hili pia, lakini sikutaka kuandika kwa kuogopa kuwasanua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…