na mimi nimewaza kama wewe aiseeViatuuuu ! Isje zikawa n mbinu za CIA ili magu yamkute kama Yale yaliyompataga BOB MARLEY,
MARK MY WORDS, hii dunia imeshachacha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
na mimi nimewaza kama wewe aiseeViatuuuu ! Isje zikawa n mbinu za CIA ili magu yamkute kama Yale yaliyompataga BOB MARLEY,
MARK MY WORDS, hii dunia imeshachacha.
Niliisikia ile story kwamba walimuwekeakitu cha kusababisha cancer Bob kwenye kiatu alichopewa zawadi.Viatuuuu ! Isje zikawa n mbinu za CIA ili magu yamkute kama Yale yaliyompataga BOB MARLEY,
MARK MY WORDS, hii dunia imeshachacha.
Wasije wakafanya kama ya Bob Marley kuleta kiatu kina virus wakamsababishia kansa.![]()
Rapa kanye West na mkewe Kim West wako Uganda ambapo siku ya leo wamefanya mazungumzo na rais Yoweri Museven. Pamoja na mambo mengine Kanye West ametoa pair 2 za viatu vyake vya Yeezy vyenye saini yake ambapo pair moja amempa rais Museven na nyingine ameituma kwa rais Magufuli,kupitia ubalozi wetu nchini Uganda.
Kanye West amemuomba rais Museven na balozi wetu wamfikishie salamu zake kwa rais Magufuli na kudai kutokana na ufinyu wa muda alionao hawezi kufika Tanzania lakini akitoa ahadi ya kupanda mlima Kilimanjaro mpaka kileleni mwaka 2019.
Wakuu mimi naona hii ni kama dalili ya Kanye West anajaribu kuwashawishi Adidas kuleta baadhi ya viwanda vyake Afrika Mashariki,hasa hasa Uganda na Tanzania?
Kanye West calls for abolition of the 13th amendment - which abolished slavery[emoji3] Dah watanzania katika ubora wetu.
Viatuuuu ! Isje zikawa n mbinu za CIA ili magu yamkute kama Yale yaliyompataga BOB MARLEY,
MARK MY WORDS, hii dunia imeshachacha.
Viatuuuu ! Isje zikawa n mbinu za CIA ili magu yamkute kama Yale yaliyompataga BOB MARLEY,
MARK MY WORDS, hii dunia imeshachacha.
hahahahahahaha so funny....😛😛😛😛[emoji848] [emoji848] [emoji848] Sasa hivyo viatu atavaa? Kanye ana lake jambo.
hata vaa vitakaa makumbushoViatuuuu ! Isje zikawa n mbinu za CIA ili magu yamkute kama Yale yaliyompataga BOB MARLEY,
MARK MY WORDS, hii dunia imeshachacha.
Nilifikiria hili pia, lakini sikutaka kuandika kwa kuogopa kuwasanuaViatuuuu ! Isje zikawa n mbinu za CIA ili magu yamkute kama Yale yaliyompataga BOB MARLEY,
MARK MY WORDS, hii dunia imeshachacha.
[emoji3][emoji3][emoji3]Duh kuna jamaa kasema hapa kuwa Watanzania wote ni FBI.
Nakubaliana nae.
FBI ni kiumbe kama wewe acha kudhani ni Miungu wanaweza kuona kesho.Mbona watu wanatekwa na hamjui walipo?
Hahahaha[emoji3][emoji3][emoji3]Duh kuna jamaa kasema hapa kuwa Watanzania wote ni FBI.
Nakubaliana nae.