okoyoko
JF-Expert Member
- Jun 15, 2014
- 2,664
- 3,641
Juzi kati Kanye West alikiri twitter kuwa ana deni la dollar million 53, na alimuomba mark Zuckerberg 1 billion U$ dollars ili a-invest kwenye ideas zakey
Naona spending habits za hawa black American rappers zinawacost hlf yule Kim Kardashian hana mchango wowote kwa Kanye West Zaid ya kumyonya jamaa hela
Ila Kanye West ana moyo... Mmh
Naona spending habits za hawa black American rappers zinawacost hlf yule Kim Kardashian hana mchango wowote kwa Kanye West Zaid ya kumyonya jamaa hela
Ila Kanye West ana moyo... Mmh