Kanye West angekuwa ni mbongo watu wangesema amerogwa na Diamond

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
Hii sio kawaida, angekuwa ni Mtanzania basi Kama kawaida zigo angebebeshwa Diamond Kama walivyofanya Harmonize, Dimpoz na Alikiba.


Hapa mwamba anaenda kanisani.


Tokea lini rapper akavaa taiti,yaani rapper anaonesha chura.
 
Mpaka picha ya mwisho sijaelewa kitu,naona anayapa promo makalio yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…