Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
We jamaa umenichekesha sana hapa.Bora uokote begi la nguo la kanye west au koffi olomide?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We jamaa umenichekesha sana hapa.Bora uokote begi la nguo la kanye west au koffi olomide?
Na sijui kwann watu hawalioni hilihuyu jamaa mgonjwa wa akili
Dah!!Ni mkewe mkuu, 😁😁😁
Huyu jamaa hakutakiwa kumiliki hela. Bora hata angekuwa kuli tu wa kubena mizigo sokoni. Maana hela zake mwenyewe, zinamgeuza kuwa mwendawazimu.Hii sio kawaida, angekuwa ni Mtanzania basi Kama kawaida zigo angebebeshwa Diamond Kama walivyofanya Harmonize, Dimpoz na Alikiba.
View attachment 2647482
Hapa mwamba anaenda kanisani.
View attachment 2647484View attachment 2647485
Tokea lini rapper akavaa taiti,yaani rapper anaonesha chura.View attachment 2647486
Huyo ni Bianca Censori. Mke wake mpya, na pia mfanyakazi katika kampuni yake ya Yeezy. Wote akili zao zinaendana. Mke wake wa zamani, Kim Kardashian alishindwa kabisa kuvumilia upopoma wa huyo jamaa.Huyo mwingine aliye kama mateka ni nani?!!!!!
Bora Kim alivyojiondokea, mrembo kama yule umfanyie mambo ya ajabu ajabu haiwezekani.Huyo ni Bianca Censori. Mke wake mpya, na pia mfanyakazi katika kampuni yake ya Yeezy. Wote akili zao zinaendana. Mke wake wa zamani, Kim Kardashian alishindwa kabisa kuvumilia upopoma wa huyo jamaa.