Kanye West angekuwa ni mbongo watu wangesema amerogwa na Diamond

Kama mazombi, tutakufa na fashion.
 
Nadhani hapo jamaa alikuwa anapiga promo za hayo mavazi
 
Tatizo lakutokufunguka picha dadez zao inaboa mno
 
Huu ushoga unavyokingiwa kifua na nchi yao unadhani n kwa sababu ganii?
Jamaa kawai fursa ngoma ikitiki wateja kama wote.
 
Huyu jamaa hakutakiwa kumiliki hela. Bora hata angekuwa kuli tu wa kubena mizigo sokoni. Maana hela zake mwenyewe, zinamgeuza kuwa mwendawazimu.
 
Huyo mwingine aliye kama mateka ni nani?!!!!!
Huyo ni Bianca Censori. Mke wake mpya, na pia mfanyakazi katika kampuni yake ya Yeezy. Wote akili zao zinaendana. Mke wake wa zamani, Kim Kardashian alishindwa kabisa kuvumilia upopoma wa huyo jamaa.
 
Huyo ni Bianca Censori. Mke wake mpya, na pia mfanyakazi katika kampuni yake ya Yeezy. Wote akili zao zinaendana. Mke wake wa zamani, Kim Kardashian alishindwa kabisa kuvumilia upopoma wa huyo jamaa.
Bora Kim alivyojiondokea, mrembo kama yule umfanyie mambo ya ajabu ajabu haiwezekani.
 
Nyie masharobaro hamuwez muelewa Kanye, kile ni kichwa.

Ulaya washavaa sana nguo kali zote unazozijua na pengine nyingine huzijui, sasa watu wanatafuta kuongelewa na ndicho anachokifanya Kanye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…