Kanye West aondolewa kwenye orodha ya mabilionea, utajiri wake washuka baada ya Adidas kuvunja mkataba naye

Kanye West aondolewa kwenye orodha ya mabilionea, utajiri wake washuka baada ya Adidas kuvunja mkataba naye

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
Jarida la Forbes limemuondoa rapa na mfanyabiasnara Kanye ‘Ye’ West kwenye orodha ya wasanii mabilionea, baada ya mkataba wake na kampuni ya mavazi ya Adidas kuvunjwa leo.

Kanye amebaki kuwa na utajiri wa Tsh. Bilioni 900.
 
Jarida la Forbes limemuondoa rapa na mfanyabiasnara Kanye ‘Ye’ West kwenye orodha ya wasanii mabilionea baada ya mkataba wake na kampuni ya mavazi ya Adidas kuvunjwa leo.

Kanye amebaki kuwa na utajiri wa Tsh. Bilioni 900.
Wabongo hatunaga story za kusaidiana mawazo ya kujikwamua kutoka sehemu moja kiuchumi kwenda nyingine... Yaani tunaongoza kwa kushabikia vitu visivyo na faida
 
Huyu si ni mfuasi wa shetani? Imekuwaje shetani kashindwa kumsaidia asinyang'anywe mkataba?
 
Mainstream media bwana! Hapa mnaaminishwa hii ni habari muhimu sana ambayo inamhusu hata mwananchi wa kawaida. Tuna consume vitu ambavo having hata umuhimu na kuvishabikia. Insane world we live in now.
Bwana mkubwa maisha ya leo hayahitaji kukomplicate vitu relax mkuu, mbona thread zipo nyingi humu za muhimu kwa maendeleo ya taifa, ungebaki huko, huku ungewaacha hao unaowaita mainstream.
 
TUNAISHI KATIKA JUDGEMENTAL SOCIETY ANYWAY NASEMA HII LEO KANYE WEST UTAJIRI WAKE UTAPANDA KWA KASI KAMA DRONES ZA IRAN HAMTOAMINI, HUWEZI KUNIELEWA KM WEWE SIO GEMINI [emoji751] TUTASHUHUDIA....
 
Wabongo hatunaga story za kusaidiana mawazo ya kujikwamua kutoka sehemu moja kiuchumi kwenda nyingine... Yaani tunaongoza kwa kushabikia vitu visivyo na faida
Ila sasa hii ni Celebrities Forum.

Lipo Jukwaa la Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Kuna Jukwaa la Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Kuna Jukwaa la Ujenzi na Makazi

Kuna Jukwaa la Ajira na Tenda

Kuna Jukwaa la Matangazo Madogo

Mengine ni kutuonea tu Watanzania
 
Asante mkuu
 
Mainstream media bwana! Hapa mnaaminishwa hii ni habari muhimu sana ambayo inamhusu hata mwananchi wa kawaida. Tuna consume vitu ambavo having hata umuhimu na kuvishabikia. Insane world we live in now.
Kuna Jukwaa la Siasa

Wabongo hatunaga story za kusaidiana mawazo ya kujikwamua kutoka sehemu moja kiuchumi kwenda nyingine... Yaani tunaongoza kwa kushabikia vitu visivyo na faida
of all the contents humu JF bado umechagua kuja kulalamikia hii mkuu? kuna watu wanazitaka hizi na ni free world hii unachagua unachotaka kuona au kusikia
 
Wabongo hatunaga story za kusaidiana mawazo ya kujikwamua kutoka sehemu moja kiuchumi kwenda nyingine... Yaani tunaongoza kwa kushabikia vitu visivyo na faida
Mbona majukwaa ni mengi tu mkuu? Vitu vyenye faida ni vipi?
 
-Balenciaga has stopped working with Kanye.
  • His talent agency has dropped him.
  • His albums are down by 23% through Oct. 20
  • His bank cuts ties with him.
  • His record label "GOOD MUSIC" is no longer part of Def Jam.
  • His new lawyer has dropped him.
  • No access to post on main social media platforms.
  • Vogue cuts ties with him.
  • loses Billionaire status after Adidas terminates their deal with him‼️
What do y'all think ??
#mymusicbox313
 
Back
Top Bottom