Kanye west asimamisha kazi zake ili kumuuguza baba yake

Numbisa

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2016
Posts
301,221
Reaction score
1,172,274
Kanye West '41' amesimamisha kazi zake zote kwa sasa ili kuwa karibu na baba yake ambaye anaugua saratani ya tumbo. . . Mzee Ray West ambaye anapata matibabu mjini Los Angeles anaendelea vizuri na taarifa zinasema Kanye yuko pembeni yake muda wote. . . Miaka 11 iliyopita November, 2007 Kanye West alimpoteza mama yake mzazi Donda West. . . Baada ya kumpoteza Mama yake Kanye alibadilika sana na kuwa mtu mwenye msongo wa mawazo mpaka kufikia kiwango cha kutaka kujiuwa baada ya kutazama makala ya maisha ya mbunifu wa amavazi kutoka Uingereza Alexander McQueen faliyejiua mwaka 2010,akiwa na umri wa miaka 40. . . Kanye West ana watoto watatu na mke wake Kim Kardashi
 
Kikuu nae aache ufala aige
Hata hii itamsaidia co kuiga
Tu bit na melord za wenyewe
 
halafu kuna mvulana m1 wa bongo et hamtaki babaye...
naapa hata kama mzazi wangu m1 angenikataa me nngeendelea kumpa heshima yake 100%
Kweli kabisa, anabaki kuwa ni mzazi wako aliyekuleta duniani, thamani yake haiwezi kushuka kwa chochote. Huyu Mondi anatakiwa amthamini baba yake kama anavyomthamini mama yake, haijalishi alimkosea kiasi gani. Mzazi ni mzazi tu.
 
Kim kishaongeza wa tatu?!!! Kweli sii wa mchezo mchezo
 
Huku kwa wala vumbi kuna kijana Fulani mvaa vibata hajui kabisa kama baba yake angeamua kupiga puchu yeye dunia asingeishuhudia kwa macho yake
 
"Can't Tell Me Nothing"

La, la, la, la wait 'til I get my money right

I had a dream I could buy my way to heaven
When I awoke, I spent that on a necklace
I told God I'd be back in a second
Man it's so hard not to act reckless
To whom much is given much is tested
Get arrested, guess until, they get the message
I feel the pressure, under more scrutiny
And what I do? Act more stupidly
Bought more jewelry, more Louis V, my momma couldn't get through to me
The drama, people suing me
I'm on T.V. talking like it's just you and me
I'm just saying how I feel man
I ain't one of the Cosbys I ain't go to Hillman
I guess the money should've changed him
I guess I should've forgot where I came from

La, la, la, la wait 'til I get my money right
La, la, la, la then you can't tell me nothing right
Excuse me, was you saying something?
Uh, uh, you can't tell me nothing
(Ha ha) you can't tell me nothing
Uh, uh, you can't tell me nothing

Let up the suicide doors
This is my life homie, you decide yours
I know that Jesus died for us
But I couldn't tell you who decide wars
So I parallel double parked that motherfucker sideways
Old folks talking about "back in my day"
But homie this is my day
Class started 2 hours ago, oh am I late?
No, I already graduated
And you can live through anything if Magic made it

They say I talk with so much emphasis
Oh, they're so sensitive
Don't ever fix your lips like collagen
And say something when you gon' end up apologing
Let me know if it's a problem then, aight man, holla then

La, la, la, la wait 'til I get my money right
La, la, la, la then you can't tell me nothing right
Excuse me, was you saying something?
Uh, uh, you can't tell me nothing
(Ha ha) you can't tell me nothing
Uh, uh, you can't tell me nothing

Let the champagne splash, let that man get cash
Let that man get past
He don't even stop to get gas
If he can move through the rumors, he can drive off of fumes
'Cause how he move in a room full of nos?
How he stay faithful in a room full of hoes?
Must be the pharaohs, he in tune with his soul
So when he buried in a tomb full of gold
Treasure. What's your pleasure?
Life is a, uh, depending how you dress her
So if the Devil wear Prada
Adam Eve wear nada
I'm in between, but way more fresher
With way less effort, 'cause when you try hard
That's when you die hard
Your homies looking like "Why God?"
When they reminisce over you, my God

La, la, la, la wait 'til I get my money right
La, la, la, la then you can't tell me nothing right
Excuse me, was you saying something?
Uh, uh, you can't tell me nothing
(Ha ha) you can't tell me nothing
Uh, uh, you can't tell me nothing

La, la, la la
Wait 'til I get my money right
La, la, la la
Then you can't tell me nothing, right?
I'm serious nigga, I got money
 

Attachments

halafu kuna mvulana m1 wa bongo et hamtaki babaye...
naapa hata kama mzazi wangu m1 angenikataa me nngeendelea kumpa heshima yake 100%
Siyo kila baba anadeserve upendo kama huo wa kanye west.

Wengi mnaongea kwa sababu hamjui au mmeishi na baba zenu wanaowajali na kuwapenda kwa moyo wote. Kuna wababa ambao kiukweli hawadeserve hata salaam.

Mimi naelewa kabisa anachokipitia diamond na anachofeel kuhusu baba yake. Diamond Platnumz siyo mjinga au mwendawazimu kwamba aanze tu kumchukia mzee wake.

Huwezi kulinganisha baba yake kanye west na huyo baba diamond kwa watoto wao. Usiangalie damu angalia nani anakujali mimi siangalii ni baba au ni ndugu gani wa damu ukinitenga na kunipuuza sina habari nawewe ni bora nimthamini mtu baki anayenithamini.
 
Kweli kabisa, anabaki kuwa ni mzazi wako aliyekuleta duniani, thamani yake haiwezi kushuka kwa chochote. Huyu Mondi anatakiwa amthamini baba yake kama anavyomthamini mama yake, haijalishi alimkosea kiasi gani. Mzazi ni mzazi tu.
Unachoongea hakina ukweli na uhalisia, wewe zaa mtoto umtelekeze au usimhudumie au umtenge au umtupe halafu baada ya kufanikiwa na kuwa mkubwa jitokeze uone kama thamani yako kama mzazi itakuwa palepale. Sikatai kuwa mzazi atabaki kuwa mzazi lakini thamani yake inategemeana na yeye mwenyewe alivyokuthamini mzazi anayemthamini mtoto wake hawezi kuwa sawa thamani yake na mzazi asiyethamini mwanaye.

Tuweni realistic Diamond hajamkataa baba yake ila thamani ya baba yake kwa diamond imeshuka ukilinganisha na mama yake.
 
...sijui kama unajua hata huyo Kanye hakukuuzwa na baba take,..grow up dude
 
...sijui kama unajua hata huyo Kanye hakukuuzwa na baba take,..grow up dude
Kutokukuzwa siyo tatizo kama hakukuwa na mens rea "nia ovu" nazungumzia kumthsmini mtoto, hapa nazungumzia wazazi wanaowatenga watoto wao na kuamua kutowathamini kwa makusudi. Nyie watoto wa "dady" hamuwezi kujua jinsi wazee wengine wanavyoshusha mioyo. Pilipili usiyoila huwezi jua uchungu wake
 
Kwa hiyo anategemea kusifiwa kwa hili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…