IGWE
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 9,578
- 7,774
...nimekuelewa mkuu,ila hata mama zenu wanachangia sana hayo yaliyokukuta..pole sanaKutokukuzwa siyo tatizo kama hakukuwa na mens rea "nia ovu" nazungumzia kumthsmini mtoto, hapa nazungumzia wazazi wanaowatenga watoto wao na kuamua kutowathamini kwa makusudi. Nyie watoto wa "dady" hamuwezi kujua jinsi wazee wengine wanavyoshusha mioyo. Pilipili usiyoila huwezi jua uchungu wake
....nimejaribu kuwa mkweli kuhusu wamama kuchangia vitu kama hivyo ,-sorry kwa waliokwazika na hili